Mshambuliaji
wa zamani wa Simba SC, Danny Mrwanda akiwa ameegemea gari lake aina ya
BMW X3 lenye thamani ya dola za Kimarekani 85,000 zaidi ya Sh. Milioni
130 za Tanzania. Mrwanda kwa sasa anacheza soka ya kulipwa Vietnam na
yuko nchini kwa mapumziko kabla ya kurejea kazini Januari na amepanga
kuichezea Polisi ya Morogoro katika mzunguko wa kwanza wa Ligi Kuu ya
Vodacom Tanzania Bara |
No comments:
Post a Comment