Tumempata! Angel di Maria akikabidhiwa jezi ya Manchester United na kocha wa Louis van Gaal
HATIMAYE
Angel di Maria amekuwa mchezaji wa Manchester United kwa dau la rekodi
Uingereza la Pauni Milioni 59.7 usiku huu kutoka Real Madrid.
Winga
huyo wa Argentina amesaini Mkataba wa miaka mitano Old Trafford ambao
utamfanya apate mshahara wa Pauni Milioni 6.5 kwa mwaka baada ya kodi.
Hiyo itamfanya mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 26 awe nyuma ya Nahodha wa United, Wayne Rooney kwa kulipwa mshahara mkubwa.




Makamu Mwenyekiti, Ed Woodward akitiliana saini Mkataba na Di Maria
No comments:
Post a Comment