Picha mpya ya mtoto wa Kanye West na Kim Kardasian yavutia watu mtandaoni.
Kim Kardashian alimpereka mtoto North West kwenda kumuangalia baba ake
akiwa kazini kwenye studio ya kutengenezea music.
Baada ya kufika
aliwapiga picha North na Kanye,picha hiyo inaangaliwa sana na watu hivi
sasa na wengi wanamsifia mtoto kuwa ni mrembo sana.
No comments:
Post a Comment