\
MSHAMBULIAJI Alexis Sanchez leo ameanza mazoezi Arsenal kujiandaa na michuano ya Kombe la Emirates.
Mchezaji huyo aliyesajiliwa kwa Pauni Milioni 30 The Gunners kutoka Barcelona alijifua na timu yake mpya kwa mara ya kwanza.
Sanchez (kulia) anaweza kupangwa kwenye mechi dhidi ya Benfica kesho katika Kombe la Emirates
Sanchez (kulia) alisajiliwa na kocha wa Arsenal, Arsene Wenger (kushoto) kwa Pauni Milioni 30 mwezi Julai
Sanchez (kulia) akijifua pembeni rya Mathieu Flamini (kushoto)
Sanchez
alikosa ziara ya siku nne ya timu hiyo Marekani wiki
iliyopoita, katokana na kupewa mapumziko ya baada ya Kombe la Dunia,
lakini aliripoti Jumanne tayari kuanza mazoezi.
Mshambuliaji
huyo wa Chile amekuwa akifanya mazoezi maalum ya kumuweka fiti chini ya
wasaidizi wa Arsene Wenger na anatarajiwa kuichezea kwa mara ya kwanza
klabu hiyo kesho dhidi ya Benfica.
No comments:
Post a Comment