Hii ni picha maarufu hivi sasa ya Kim Kardashian na Kanye West…ina likes zaidi ya laki 8.
Kutoka
kwenye ukurasa wa instagram wa Kim Kardashian ame-post picha aliyopiga
kwa camera ya mbele (selfie) wakiwa chumbani na Kanye West.
Picha
yenyewe inamuonyesha Kanye West akiwa amelala na status yake ya “Side
chicks be like” ndio inaiongezea umaarufu. Hadia wakati post hii inaenda
hewani, picha imepata likes zaidi ya laki 8.
No comments:
Post a Comment