Subiri kijana: Marcos Rojo (kulia) hatakuwepo katika mchezo dhidi ya MK Dons kwa sababu ya kibali cha kufanyia kazi Uingereza
BEKI
mpya wa Manchester United, Marcos Rojo hatacheza leo dhidi ya MK
Dons kutokana na kwamba bado hajapata kigali cha kufanyia kazi nchini
Uingereza.
Louis
van Gaal alitarajia kumtumia Rojo katika mchezo waliomaliza kwa safe ya
kufungana bao 1-1 na Sunderland Jumapili, lakini sasa atamsikilizia
katika mchezo wa genii dhidi ya Burnley Jumamosi.
Beki
huyo mwenye umri wa miaka 24, amekamilisha uhamisho wa Pauni Milioni 16
Man United wiki iliyopita, lakini atalazimika kusubiri
hadi patine kigali cha kufanyia kazi.
Rojo
anaingia kwenye orodha ndefu ya wachezaji wanaokosekana uwanjani kwa
sasa United, wengine wakiwa ni Luke Shaw, Michael Carrick, Marouane
Fellaini, Jesse Lingard, Rafael da Silva na Ander Herrera ambao wote ni
majeruhi.
Van
Gaal anatarajiwa kuendelea kuwapa nafasi wachezaji chipukizi usiku wa
Jumanne kama Michael Keane na Tyler Blackett katika kikosi cha kwanza
kwenye mchezo huo.
No comments:
Post a Comment