Wamewasili:
Kocha Mholanzi wa Manchester United akiwasili na kikosi chake mjini
Manchester wakitokea Marekani ambako walitwaa Kombe la Kimataifa,
michuano maalum iliyoandaliwa kwa klabu kujiandaa na msimu mpya


Louis van Gaal akiondoka Uwanja wa Ndege wa Manchester baada ya kuwasili
Wayne Rooney baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Manchester

Wachezaji wa Hispania, David de Gea (kushoto) na Juan Mata 

Tom Cleverley (kushoto) na Ashley Young
No comments:
Post a Comment