Wameungana tena: Dwight Yorke akikumbatiana na Andrew Cole na Jesper Blomqvist kushangilia bao dhidi ya Bayern Munich
Bryan Robson alikuwa kocha mchezaji wa kikosi cha magwiji wa United na hapa anapambana na Harald Cerny wa Bayern
Ronny Johnsen cakipambana na Alexander Zickler
Shangwe
za bao: Giovane Elber akiangukia bango la wadhamini wakati Paulo Sergio
alipoungana naye kushangilia la pili la Bayern Munich
Nahodha wa Bayern, Mark van Bommel akimchezea rafu Quinton Fortune wa United
Denis Irwin akiambaa na mpira baada ya Yorke kumtuliza Markus Schupp
Dwight Yorke akimtoka Hans Pflueger
Sura maarufu: Magwiji wa United na Bayern katika picha ya pamoja kabla ya mechi jana Allianz Arena
No comments:
Post a Comment