Wimbo mpya wa Sunday Mjeda a.k.a Linex unaoitwa Wema kwa Ubaya
unaotarajiwa kutoka hivi karibuni pamoja na video yake umetengenezwa na
producers watatu akiwemo More Fire ambae alisimamia uingizwaji wa
vocals, producer Mona Gangstar ambae yeye alishughulikia mixing na
kumaliziwa kwa producer Tuddy Thomas ambae amefanya mastering.
Ukiacha hilo lakini katika uandishi wa mashairi yake Mh Zitto Kabwe
ameshiriki kwa asilimia 70 na kuweka speech yake fupi mwisho wa wimbo
huo.
katika utengenezaji wa video hiyo Linex amefanya video hiyo na Director
Adam Juma ambae anasisitia kuwa hela aliyomlipa hajawahi kulipwa na
msanii yoyote Tanzania.....
No comments:
Post a Comment