UKWELI KUHUSU KUACHANA NUH MZIWANDA NA SHILOLE HUU HAPA.
Stori
ya Nuh Mziwanda kujichora tatoo yenye jina la Shilole ilisambaa sana na
wengi walikua wakijiuliza siku ikitokea wameachana itakuaje hasa upande
wa Nuh ambaye ndiye aliyejichora tatoo hiyo.
Maelezo
ya Nuh Mziwanda yamedai kuwa sababu zilizosababisha waachane ni msg
ambayo aliikuta kwenye simu ya Shilole ambayo inasemekana ilitumwa na
mwanaume,Nuh alipomwambia Shilole apige alionekana kunikanyanga.
No comments:
Post a Comment