Arsenal wameambiwa Juan Quintero, 21,
ataruhusiwa tu kuondoka Porto iwapo kifungu
cha pauni milioni 32 cha uhamisho
kitatenguliwa (Daily Express) Manchester United
wanakaribia kufanikisha uhamisho wa pauni
milioni 20 wa Mats Hummels, 25, huku Borussia
Dortmund wakiwa na matumaini ya kuziba
pengo hilo kwa kumchukua Tiago IIori, 21,
kutoka Liverpool kwa mkopo (Daily Mirror), rais
wa Napoli Aurelio De Laurentiis amethibitisha
kuwa klabu yake inamtaka kiungo wa
Manchester United Marouanne Fellaini, 26,
ingawa kuna wachezaji wengine pia
inawafuatilia (Daily Telegraph), Liverpool
inatazama kuwachukua mabeki kutoka Spain
Alberto Moreno, 22, wa Sevilla na Javier
Manquillo, 20 kutoka Atletico Madrid (Daily
Star), West Ham wamekuwa na mazungumzo
na mshambuliaji wa zamani wa Chelsea Samuel
Eto'o, 33, na pia Hugo Almeida, 30 kutoka
Besitkas (Times), kocha wa Atletico Madrid
Diego Simione yuko tayari kupanda dau
kumchukua kiungo wa Manchester United Shinji
Kagawa, 25 (Daily Express), QPR wameelekeza
macho yao kumfuatilia kiungo Morgan
Amalfitano, 29 kutoka Marseille, aliyeichezea
West Brom kwa mkopo msimu uliopita (Daily
Mail), Arsenal wanamfuatilia beki wa Real
Madrid Alvaro Arbeloa iwapo Thomas Vermaelen
ataondoka Emirates (AS), Arturo Vidal wa
Juventus amepita katika vipimo vya afya na
anasubiri makubaliano ya mwisho kusaini
mkataba na Manchester United (Metro), kiungo
wa Porto Juan Quintero amesafiri kwenda
London kukamilisha uhamisho wake wa kwenda
Arsenal (Marca). Share tetesi hizi na wapenda
soka wote. Tetesi nyingine kesho tukij
Friday, 1 August 2014
TETESI ZA SOKA ULAYA...ARTURO VIDAL AMEPITA KATIKA VIPIMO VYA AFYANA ANASUBIRI KUSAINI MKATABA..
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment