JIONE PICHA 6 ZA UTANI KWA KOCHA WA CHELSEA MOURINHO NA STAILI YAKE YA KUPAKI BASI,,,

1
Sehemu ya headlines za karibuni za kocha wa Chelsea Jose Mourinho ni
pamoja na mbinu yake ya kujaza wachezaji golini ambayo imepewa umaarufu
wa ‘basi la Mourinho’
Baada ya kulaumiwa na baadhi ya makocha wenzake pamoja na wachambuzi
wa soka, watu hawajalala na badala yake wamekua wakitengeneza katuni au
mabango ya staili ya basi inayotumiwa na kocha huyu.

2

3

4
No comments:
Post a Comment