Katika hali ya kuonyesha kuwa
ma-Interahamwe - ccm yanazidi kudhoofika kutokana na dhuluma yao kwa
kufidhuli maoni na ukweli wa umma, Mwanasheria Mkuu wa Z'bar amewaumbua
wanafiki wana-ccm wenzake na 201 waliobaki bungeni kuwa Serikali 3 ni
ukweli uliopo wazi na ndivyo hata Katiba ya sasa inavyothibitisha, na
hivyo ni ngumu sana kuufunika ukweli huo wakati Katiba ya sasa inazitaja
wazi kuwa muungano wetu 'UNAUNDWA NA NCHI 2' na ni ngumu mno kuitaja
Z'bar bila kuonyesha nchi ya pili ni ipi, kwa hivyo serikali 3 ni jambo
lililosemwa hata ktk Katiba tuliyo nayo! Kauli liyowaacha CCM -
interahamwe midomo wazi, kimyaaa na kwa aibu kubwa hawakuthubutu
kumzomea, bali wameugulia mioyo, na kuguna kichinichini...unafiki na
aibu! .
My Take: TANGANYIKA ni TAIFA lisiloweza
kuzuilika, Z'bar ni taifa lisiloweza kuzuilika, Serikali 3 ni mfumo
usiozuilika na watawala waliojaa woga...! CCM wanaweweseka kila kukicha,
wanaweka vikao vingi gizani na kusambaza fedha za udhalimu, za sembe,
na dentals la nyara zetu ili kuendelea kutawala kidhalimu...lakini mkono
wa Mungu unathibitisha ktk mwanga kuwa Watanganyika na Wazanzibar
watawekwa huru...tena UHURU wa kweli na uliolindwa kwa mikono ya Mungu
na Umma!
No comments:
Post a Comment