Sunday, 13 April 2014

BREAKING NEWS .BOMU LALIPUKA TENA MKOANI ARUSHA.

Taarifa zilizo tufikia
hivi punde katika meza yetu ya habari hapa
KITOMIXNEWS zinasema kuwa watu kadhaa
wamejeruhiwa katika ajali ya bomu iliyotokea
hivi punde hapa mjini Arusha.
Ajali hiyo ni ya bomu imetokea katika baa ya
NIGHT PACK iliopo katika eneo la mianzini .
Tafadhali kwa habari zaidi endelea kuifwatilia
blogu hii ya KITOMIXNEWS......

No comments:

Post a Comment