KLABU
ya Manchester City ndiyo inayoongoza duniani kwa kulipa mishahara
mizuri wachezaji huku kiwango cha malipo ya mwaka kwa kila mchezaji
kikiwa ni Pauni Milioni 5.3, au Pauni 102,653 kwa wiki, hiyo ni kwa
mujibu wa taarifa mpya ya mlinganisho wa mapato ya klabu kubwa.
Klabu
tano za Ligi Kuu ya England zimeingia kwenye 20 Bora na Liverpool
iliyoifunga 3-2 City katika mbio za ubingwa Jumapili- inashika nafasi ya
20, kwa kumlipa kila mchezaji wastani wa Pauni Milioni 3.4 kwa mwaka.
Manchester
United ni ya nane ikilipa Pauni Milioni 4.3 kwa mwaka, Chelsea ya 10
(Pauni Milioni 4) na Arsenal ya 11 (Pauni Milioni 3.9).
![Big spender: City owner Sheik Mansour has invested hundreds of millions into making them title challengers](http://i.dailymail.co.uk/i/pix/2014/04/15/article-2604978-06AD506200000514-26_634x758.jpg)
Kimwaga
noti: Mmiliki wa City, Sheikh Mansour amewekeza mabilioni ya Pauni
katika timu hiyo ili iwe mshindani katika ubingwa wa England
KLABU ZINAZOONGOZA KULIPA MISHAHARA MIZURI WACHEZAJI DUNIANI
NAFASI (MWAKA JANA) | TIMU | LIGI | MAKADIRIO YA MALIPO KWA MWAKA (WIKI) |
---|---|---|---|
1 (1) | Manchester City | Premier League | £5,337,944 (£102,653) |
2 (5) | New York Yankees | MLB | £5,286,628 (£101,666) |
3 (2) | Los Angeles Dodgers | MLB | £5,119,701 (£98,456) |
4 (3) | Real Madrid | La Liga | £4,993,393 (£96,027) |
5 (4) | Barcelona | La Liga | £4,901,327 (£94,256) |
6 (16) | Brooklyn Nets | NBA | £4,485,019 (£86,250) |
7 (9) | Bayern Munich | Bundesliga | £4,402,905 (£84,671) |
8 (12) | Manchester United | Premier League | £4,322,251 (£83,120) |
9 (19) | Chicago Bulls | NBA | £3,985,706 (£76,648) |
10 (8) | Chelsea | Premier League | £3,984,536 (£76,626) |
11 (15) | Arsenal | Premier League | £3,901,923 (£75,037) |
12 (20) | New York Knicks | NBA | £3,862,191 (£74,273) |
13 (14) | Detroit Tigers | MLB | £3,833,510 (£73,721) |
14 (11) | Philadelphia Phillies | MLB | £3,811,638 (£73,301) |
15 (22) | Boston Red Sox | MLB | £3,763,451 (£72,374) |
16 (17) | Miami Heat | NBA | £3,665,215 (£70,485) |
17 (23) | San Francisco Giants | MLB | £3,613,741 (£69,495) |
18 (35) | Juventus | Serie A | £3,512,696 (£67,552) |
19 (7) | LA Lakers | NBA | £3,411,402 (£65,604) |
20 (21) | Liverpool |
No comments:
Post a Comment