Friday, 11 April 2014

SIRI NZITO ZA ALIKIBA ZAFICHUKA!!! SOMA HAPA

Wasanii wengi wa fani mbali mbali kuanzia
filamu hadi bongo fleva, wamekuwa wakipoteza
mashabiki wao wengi kutokana na ile hali tu ya
jinsi anavyochukulia umaarufu wake, kama
anatumia umaarufu wake vizuri basi hutokea
kupendwa sana na watu hata wale ambao siyo
mashabiki wake, watampenda tu kama mtu
wakawaida.Kismati hiki cha kupendwa sana na
watu wa rika mbalimbali anacho naye msanii
mkongwe sana Ali Kiba.
Ukimuongelea Msanii kama Ali Kiba, watu wengi
wanatamani wasanii wote wawe kama yeye,ni
mmoja kati ya wasanii wachache sana maarufu
ambao hawana ulimbukeni wa mali au umaarufu
wao, cause wengi wao pale wapatapo umaarufu
kidogo tu, huanza kudharau watu wake wa
karibu, haswa wakipata mali kidogo basi huishia
kuonyesha watu magari na
nyumba,hata kama haiwahusu, ilimradi tu basi
nao waonekane kama wasanii wa nje wenye mali
zao, ila kwa Ali kiba imekuwa ni tofauti sana,na
hiki ndicho kinachofanya AliKiba aweze
kupendwa zaidi na kila mtu.
Kupitia mtandao wa instagram Ali kiba aliweza
kuweka wazi mtazamo wake wa mafanikio:
“Kuishi maisha halisi yenye furaha na maana
kwako ni kitu cha thamani sana. Unayo kila
sababu ya kufuata njia yako ya maisha yenye
misingi mizuri ya kukujenga katika kila nyanja ya
maisha yako. Kwa kuwa kila mtu ana maono
yake binafsi kuhusu maisha ni vigumu kufafanua
maana halisi ya maisha. Naamini nawe pia una
falsafa yako ya kutafsiri nini maana ya maisha
mazuri kwako,

No comments:

Post a Comment