Monday, 21 April 2014

UKWELI NDIO HUU..MILLIONI 13 ALIZOZITOA WEMA SEPETU KUMUOKOA KAJALA KWENDA MAHAKAMANI AZIKUA PESA ZAKE..

Siri
zimezidi
kuvuja juu
ya
uhasama
baina ya
mastaa                                                            wawili wa
kike bongo.
Miss tanzania 2006. Wema sepetu na
kajala masanja. Ambapo inaelezwa
kuwa kiasi cha pesa sh.mil 13.
Ambazo wema alimlipia kajala
kumuokoa na hukumu ya kwenda
jela katika mahakama ya hakimu
mkazi kisutu dar hazikuwa zake.
kwa mujibu wa watu wa karibu na
mastar hao Wema hakuwa na jeuri
ya kutoa fedha hizo ndio maana
familia ya mrembo huyo ilionyesha
mshtuko mkubwa kwa binti yao
kutoa pesa za bure kwa mtu baki
kama kajala.
Habari zaidi zimesema kwamba
kabla wema hajatoa pesa hizo
alimpigia simu mfadhili huyo na
kumueleza kilichokuwa kinaendelea
mahakamani hapo ambapo aliruhusu
pesa kutolewa.
kama pesa hiyo ingetoka mfukoni
mwa wema basi familia yake
akiwemo mamake asingeweza
kumwacha bila kumuhoji bint
yake.lakini mama wema
alieleweshwa hali ilivyo na ndio
maana akatulia.pesa ilitolewa na
kigogo huyo ambaye sasa anatoka na
kajala.
Aidha mtoa habari huyo alidai
kwamba kabla ya wema kumsaidia
Kajala mil.13 hakuwahi kutoa
msaada wowote wa kifedha zaidi ya
kula ubwabwa na watoto yatima.
Sani iliwahi kumpa taarifa wema
kwamba kulikuwa na mama
anayehitaji msaada wa laki moja
kutokana na matatizo aliyokuwa
nayo alijibu kwamba yeye sio
serikali na kumsaidia Kajala
kusiwafanye watu wamuone kama
taasisi ya kutoa misaada.
Taarifa zaidi zimedai kwamba
kutokana na tabia za mastaa zilivyo
isingekuwa rahisi kwa Wema kutoa
hata senti tano yake!
Naamini kwa hali ya mastaa ilivyo
Wema kama wema asingeweza kutoa
hata sh. Mia ili kumtoa kajala.Nyuma
ya kesi ya kajala kulikuwa na huyo
kigogo ambaye hivi sasa pesa zake
zote anammwagia kajala.mambo
yamegeuka ndivyo sivyo!” alisema.
Vyanzo vyetu hivyo vilitoa mfano wa
msanii mwingine jack wolper
ambaye alimpa msaada wa mil.10
aliyekuwa nyota wa filam Juma
kilowoko au Sajuki kwa ajili ya
matibabu na kudai hazikuwa zake ,
Wolper hakuwa na uwezo huo pesa
zilikuwa za Dallas ambaye alimtumia
Wolper kama kama bahsha
kuufikisha mchango wake. Kiliongea
chanzo hicho.

No comments:

Post a Comment