Staa wa wimbo wa Majanga, Snura Mushi akiwa kwenye mahaba mazito na boyfriend wake aitwaye Hunter Sleiyum.
Snura Mushi akiwa na Hunter Sleiyum.
“Hata kuamua kufanya kazi hii ya kunengua majukwaani ni kwa sababu
nilikwepa mambo ya kujiuza kwa wanaume, kazi hiyo siiwezi kabisa, niko
tofauti na wengine wanaokubali kujiuza na kutothamini miili yao,”
alisema Snura.
Mbali
na kumzungumzia mpenzi wake huyo ambaye ni DJ wa Maisha Club, Snura
alikanusha kuhusu taarifa za kutajwa kuwa na uhusiano wa kimapenzi na
mchezaji wa Yanga, Mrisho Ngasa.“Huwezi kuamini, Ngasa hajawahi kutoka na mimi, alikuwa ni mshkaji tu,” alisema Snura.
No comments:
Post a Comment