Kwa raha
zake: Kiungo wa kimataifa wa Ufaransa, Samir Nasri aliyetemwa kwenye
kikosi cha timu hiyo cha Kombe la Dunia, akiwa anastarehe na mpenzi
wake. Wengi wamestaajabishwa na kitendo cha kocha Didier Deschamps
kutomchukua kiungo huyo wa Manchester City kwa sababu yuko juu hivi sasa
na alitoa mchango mkubwa klabu yake kutwaa ubingwa wa England.
No comments:
Post a Comment