HUYU NDIYE KIJANA ALIYEPOTEA KWA MAZINGIRA YA KUTATANISHA,,APATIKANA AKIWA KATIKA HALI YA KUTISHA.
Kijana
mmoja mkazi wa kijiji cha Nyambogo wilayani Rorya mkoani Mara, ambaye
anadaiwa kupotea nyumbani kwa imani za kishirikina hatimaye amepatikana
huku akiwa katika hali ya
kutisha bila kujitambua na mwili wake ukiwa
umejaa tope jingi, tukio ambalo limevuta mamia ya wananchi wa kijiji
hicho
No comments:
Post a Comment