Ufunguzi rasmi wa fainali za kombe la dunia nchini Brazil unatarajiwa kufanyika kesho Alhamisi (June 12),
Jennifer Lopez anatarajiwa kuungana na
rapper Pitbull pamoja na Claudia Leitte
kutumbuiza wimbo rasmi wa kombe la dunia katika sherehe hizo.Pamoja na FIFA mapema wiki hii kutangaza kuwa Lopez
asingetumbuiza katika ufunguzi huo, muwakilishi wake amethibitisha uwepo wake kwa PEOPLE, kwa mujibu wa Aceshowbiz.kutumbuiza wimbo rasmi wa kombe la dunia katika sherehe hizo.Pamoja na FIFA mapema wiki hii kutangaza kuwa Lopez
“Jennifer
has always wanted to participate in the World Cup opening ceremonies,
we have been trying to work out scheduling and logistics. Any statements
to the contrary were premature. Jennifer would not want to disappoint
her fans or fans of futbol. She will be there.” Alisema muwakilishili huyo.
J’Lo
rapper Pitbull na muimbaji wa Brazil Claudia Leitte wameshirikiana
katika wimbo rasmi wa kombe la dunia mwaka huu uitwao ‘We Are One (Ole
Ola)’.
No comments:
Post a Comment