Sunday, 15 June 2014

WEMA Anasa Mimba ya DIAMOND…Diamond Apagawa Kwa Furaha

‘Beautiful Onyinye’ na kipenzi cha Diamond,
Wema Sepetu sasa ni mjamzito. Baada ya
misukosuko ya muda mrefu ikiwemo
kuporwa na wasichana wenzake penzi lake
la Diamond, sasa Wema amepata kile
alichokuwa akikililia kwa muda mrefu….
Chanzo cha habari hii kutoka kwa marafiki
wa Diamond kimedai kuwa Wema amenasa
ujauzito na kugundulika hivyo walipokuwa
Afrika Kusini kwenye tuzo za MTV-MAMA
na kumfanya Diamond achanganyikiwe kwa
furaha….
Kwa mujibu wa chanzo hicho, inadaiwa kuwa
Diamond kwa sasa kawa kama mtu
aliyepagawa kwa furaha kutokana na taarifa
hizo njema na tayari ameshaanza maandalizi
ya kijacho chake….
Kugundulika kwa ujauzito wa Wema ni
baada ya kuanza kujisikia vibaya
walipokuwa Afrika Kusini ikiwemo
kichefuchefu na kizunguzungu alipokuwa
hotelini alipofikia na kulazimika kwenda
hospitali kwa uchunguzi zaidi….
Inasemekana kuwa Wema alisindikizwa na
Aunt Ezekiel kwenda hospitalini waliyekuwa
naye huko Afrika Kusini kumpa sapoti
Diamond na madaktari ndiyo waliomjuza
kuwa anakiumbe tumboni cha wiki 7
Taarifa za madaktari hao zilimfanya Wema
awe kama mwehu aliyepagawa na kurudi
hotelini kwa mumewe Diamond huku akiwa
na tabasamu ambalo hapo awali Diamond
hakuwahi kuliona….
Inasemekana kuwa mpaka sasa siyo
Diamond wala Wema aliyewaambia

No comments:

Post a Comment