MATUMAINI
ya England kufuzu Raundi ya Pili ya Kombe la Dunia jana yalingia kiza
kufuatia kuchapwa mabao 2-1 na Uruguay katika mchezo wa Kundi D.
Roy
Hodgson na wachezaji lazima waombe dunia Italia iifunge Costa Rica leo
ili kuihakikishia Three Lions kuendelea kuwapo katika michuano.
Na mshambuliaji wa Azzurri, Mario Balotelli ametoa ombi moja tu, kwamba atahitaji busu laini la Malkia iwapo wataifunga Costa Rica!
Shavuni: Mario Balotelli amesema anatarajia bush la Malkia iwapo Italia itaifunga Costa Rica
Siyo saws
yake... Malkia akiwa amehudhuria Siku ya Wanawake attends Ladies Day at
Royal Ascot Ijumaa iliyopita, saa kadhaa kabla ya kipigo cha England
kutoka kwa Italia
Ametweet: "Ikiwa tutaifunga Costa Rica nataka bush wazi shavuni, kutoka kwa Malkia wa Uingereza,".
Balotelli alifunga bao la ushindi wakati Italia inaifunga England wiki iliyopita na ataongoza tena safu ya ushambuliaji Recife.
Balotelli alifunga bao la ushindi wakati Italia inaifunga England wiki iliyopita na ataongoza tena safu ya ushambuliaji Recife.
Iwapo vijana wa Cesare Prandelli watabeba
pointi nyingine tatu, England watalazimika kuifunga Costa Rica Jumanne
katika mchezo wao wa mwisho wa kundi hilo na waombe tena Italy iifunge
na Uruguay usiku huo huo ili kutinga 16 Bora.
No comments:
Post a Comment