Wednesday, 4 January 2017

Phil Neville amwaga mitusi Valencia

vv
Phil Neville alishindwa kuzuia hisia zake baada ya Valencia kuendelea kupata matokeo mabovu hasa baada ya kufungwa nyumbani magoli 4-1 na kupoteza tena mechi dhidi ya Celta Vigo 1-0 kwenye Copa Del Rey.

Phil Neville ali-tweet kwa ki spain ambapo tafsiri yake ni “F*ck Valencia”. Baada ya tweet hiyo kuanza kuwa maarufu na kupata reply nyingi kutokana kwa mashabiki na watu wengine Neville akaifuta.
v
Mashabiki wa Valencia ameandama wakitaka mmiliki wa club hiyo raia wa Singapore aiche club yao kutokana na kushindwa kuifanya iwe bora. Maandamano hayo ya mami ya mashabiki yamefanyika kama shinikizo.
Ikumbukwe Phil Neville aliwai ku kocha pia wakati ndugu yake Gary alivyokua kocha mkuu wa club hiyo. Gary aliachishwa kazi kutokana na matokeo mabovu lakini bado club inaendelea kuwa na matokeo mabovu.

No comments:

Post a Comment