. Alikuwa mwanasheria na mwanachama wa ANC aliyepinga siasa ya ubaguzi wa rangi Apartheid katika Afrika Kusini. Mandela alitumikia kifungo cha maisha kwa miaka 27 kutokana na harakati zake za kuupinga ubaguzi wa rangi. Alifungwa katika kisiwa cha Robben. Baada ya kuachiliwa huru mwaka 1990 alianzisha sera ya maridhiano. Mwaka wa 1993, pamoja na Frederik Willem de Klerk alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani.
Marais mbalimbali duniani waanza kutoa salaam za rambirambi miongoni mwa marais hao nipamoja na Rais wa USA Barack Obama ametuma salamu za rambirambi juu ya kifo cha Nelson Mandela , pamoja na Waziri mkuu wa United Kingdom David cameron.
No comments:
Post a Comment