Wednesday, 21 January 2015

CHEKI HAPA CHANNEL MPYA YA TV AMBAYO ITAKUWA GUMZO AFRIKA .....


Habari njema kwa wasanii na waandaaji wa vipindi vya utamaduni pamoja na 

ngoma za asili....Chanel mpya inayopatikana startv ndan ya king'amuz cha 

continental Chanel namba 109 Star Afroculture inapokea kazi hizo pamoja na 

mahojiano na wasanii mbali mbali....wasilisha kupitia email yetu. wasiliana 


nasi kupitia namba zetu au fika katika ofis zetu Sahara media group zilizopo 

mkoani mwanza wilaya ya ilemela...Kufahamu mengi zaidi bonyeza hapa usome kwa urahisi 

Vipindi mbali mbali kama,,Vivutio vya utali,Asili ya mtanzania,Mazingira na misitu,,Ngano za kiafrica,,kumbu kumbu za kihistoria,,Midundo ya kiafica,,Nyimbo na ngoma zetu,,Sanaa urembo pamoja na vingine vingi,,BILA KUSAHAU KIPINDI CHA KUINUA WASANII WACHANGA KWENYE TASINIA YA MZIKI{MSANII WETU}..,,,

TEMBELEA PAGE ZETU UJIONEE VITU MBALIMBALI ..



WASILIANA NASI KUPITIA NAMBA HAPO JUU
AU FIKA KATIKA OFISI ZETU ZA 
SAHARA MEDIA GROUP ZILIZOPO ILEMELA MKOANI MWANZA..
P.o Box 1732 Mwanza ,Tanzania
MENEJA WA CHANNEL YA STAR AFRO CULTURE JUMA A. BARAGAZA {UPANDE WAKUSHOTO} NA VISUAL EDITOR/CAMERAMAN  WA CHANNEL HIYO GODLISTEN P KITOMARI WAKIWA KATIKA MAANDALIZI YA KIPINDI CHA VIVUTIO VYA UTALII KATIKA HIFADHI YA TAIFA YA RUBONDO ILIYOPO MKOANI GEITA..

KAZI IKIENDELEA KATIKA HIFADHI ZA WANYAMA.





No comments:

Post a Comment