Juzi juzi hapa nilisafiri kwenda kijiji cha mkoa flani hivi. I was there for two wks. Nilishuhudia wajawazito zaidi ya saba wakijifungua kwa njia ya kawaida. Ilinibidi nifanye kautafiti juu ya swala hili la ongezeko mara dufu ya watu wanaojifungua kwa operation . Nilichogundua ni kwamba Vijijini watu kwa asilimia 99.99 hujifungua kwa njia za kawaida na mijini asilimia78.32 ya wanawake hujifungua kwa njia ya operation.
Je hii inaashiria kuwa wanawake wa mijini ni dhaifu kiasi kwamba wanashindwa kujifungua kwa njia za kawaida, ama kuna sababu nyingine?
Na je hii haiwezi ikawa ni ujanja wa mahosipitali kujipatia pesa zaidi? kwasababu operation inagarama zake ati!...
TOA MAONI YAKO HAPA,........
No comments:
Post a Comment