![Zitto-Kabwe](http://i0.wp.com/millardayo.com/wp-content/uploads/2015/01/Zitto-Kabwe.jpg?resize=577%2C350)
Magazeti yaliyotoka siku chache zilizopita yaliripoti taarifa ya Mbunge Zitto Kabwe kurudi tena CHADEMA, millardayo.com imepata exclusive interview na Zitto Kabwe, kazungumzia shu hiyo.
Kuhusu kurudi CHADEMA; “Hapana
nadhani hizo ni tetesi kwa sababu sijatoa kauli yoyote kuhusiana na
hilo na moja mimi bado mwanachama wa Chadema kwa sababu nina kesi
mahakamani na kesi hiyo haijaamuliwa,bado inaendelea“– Zitto Kabwe.
“Sijawahi
kutoka kwenye uanachama wa CHADEMA, mtu anaposema nataka kurudi Chadema
hayuko sahihi, inafahamika nilikuwa na matatizo na chama hatujaweza
kuyatatua, hakuna mazungumzo yoyote ambayo yamefanyika lakini kuna
baadhi ya watu wameanza kuleta hayo mazungumzo“– Zitto Kabwe.
No comments:
Post a Comment