Shindano la Nani Mkali: Jokate na Lulu Michael ...Aya ndio matokeo..
Mwanamitindo na dairekta wa lebo ya Kidoti, Jokate Mwegelo amekuwa
tishio kwa msanii wa filamu za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ kwa
urembo na muonekano katika picha zinazoonekana mitandaoni nchini.
Tuliweka Picha zao Hapa hapa walizopiga 2015 na kuuliza Nani Mkali
Jokate ameibuka mshindi kwa kupigiwa kura tano huku watu wakimsifia kuwa
ni wa kimataifa zaidi ambapo Lulu alionekana kupigiwa kura na mtu mmoja
No comments:
Post a Comment