Picha ya pamoja ya wanafamilia wa Ajtc kabla ya Tukio
Picha ya pamoja ya wanafamilia wa Ajtc kabla ya Tukio
Wanafamilia wakikagua picha
Watangazaji wa star Tv wa kwanza kushoto Tupokigwe Ambwene,Jackline Cliff,(JCK),Fatma Shemweta pamoja na Godlisten Kitomari.
Mtangazaji mkongwe wa kipindi cha bonga na star Fatma Shemweta akimtazama Jck ambaye kwa sasa ndo anayefanya kipindi hicho.
Wanafamilia wa Ajtc Agape Msumari na Juliana Ngeleja wakifuatilia tukio kwa umakini.
Birthday Boy
Birthday Boy
Fatma Shemweta
Birthday Boy Godlisten Kitomari akikaribishwa duniani
Birthday Boy Godlisten Kitomari
Muda wa keki
Champagne ilihusika saaaaana
Muda wa maakuli
Mc wa hafla bw.Samweil Dida akipata chakula pamoja na Tupokigwe
Ilikuwa ni tarehe 03 -10-2015
No comments:
Post a Comment