Saturday, 2 January 2016

Achana na Lexus ya mabox, cheki na hii yenye matairi ya barafu !!(+Pichaz)


Kama kuna vitu vinayakimbiza maisha kwenye kasi ya ajabu, basi teknolojia nayo imo… uliipata ile ya Lexus iliyotengenezwa kwa mabox, ikafungwa mota alafu ikaingia barabarani na kutembea kama gari tulizozoea?

151009145016-lexus-cardboard-3-super-169
Hii ndio Lexus ya mabox iliyotoka October 2015

Sasahivi nimekutana na hii ambayo jamaa wamekaa zao chimbo kubuni tu kitu tofauti… kilichobuniwa ni matairi yaliyotengenezwa kwa barafu, ubunifu umefanyika London Uingereza na kampuni ya  Hamilton Ice Sculptors ambao ni mabingwa wa kutengeneza vitu mbalimbali kwa kutumia barafu.
151222145732-lexus-ice-wheels-car-1-super-169
Unaambiwa gari ambalo lilifungwa matairi hayo kwa majaribio na lenyewe liligandishwa kwa muda wa kama siku tano hivi kabla ya kufungwa tairi hizo.
151222145734-lexus-ice-wheels-car-2-super-169 151222145735-lexus-ice-wheels-car-3-super-169 151222172333-lexus-ice-super-169 151223105949-lexus-ice-wheels-car-5-super-169 151223105952-lexus-ice-wheels-car-7-super-169 151223105956-lexus-ice-wheels-car-6-super-169

No comments:

Post a Comment