Mesut
Ozil anayeongoza kwa pasi zilizozaa mabao Premier League alikuwa
nyumbani tu akiishudia timu yake ya Arsenal ikitoka sare ya bila mabao
dhidi ya Stoke City.
Kiungo huyo Mjerumani ni majeruhi na leo alibaki nyumbani akishuhudia mechi hiyo, hatua kwa hatua kwa utulivu kabisa.
No comments:
Post a Comment