Tuesday, 24 May 2016

MSANII WA KIMATAIFA NE-YO ADHIIRISHA KUWA YEYE NI BORA ZAIDI BAADA YA KU...

MSANII WA KIMATAIFA KUTOKA MAREKANI NE-YO AONYESHA UTOFAUTI WAKE KATI NA YAKE WASANII WA TANZANIA --JIONEE HAPA

Kama ulipitwa na Show ya jembeka festival ya jijini mwanza basi hapa kitomixproduction nimekuletea matukio matatu makubwa yalifuraisha mashabiki

(1)Kilichofanyika kabla ya NE-YO kupanda jukwaani kuanza kuimba...
(2)Diamond na Ney wa mitego walichokifanya kwa pa1
(3)Baraka da prince kuimba wimbo MPYA ya Alikiba na mashabiki kupiga kelele za shwangwe
JIONEE VIDEO HII
Na kwa matukio ya picha Follow me instagram - kitomix_the_one