Huenda ukawa upo Tanzania lakini hili ukawa hulifahamu mtu wangu, tumezoea kusikia kuwa Tanzania ni nchi ambayo inatambulishwa vivutio vya utalii hususani mlima Kilimanjaro.
Mtu wangu wa nguvu kama bado hujakutana
na list ya zinazotajwa kuwa simu zenye thamani zaidi duniani, mtu wako
wa nguvu nimekutana nayo list hiyo, mara nyingi tumezoea kuona na
kusikia mtu akinunua simu kwa gharama ya juu huenda ikawa ni kati ya Tsh milioni 1 hadi milioni mbili, ila hii ni TOP 5 ya simu kali na zenye thama duniani
Simba
imesimama kwa muda mjini Dodoma na kuzungumza na baadhi ya wabunge
wakiwemo Azzan Zungu, Juma Nkamia na wengine wenye mapenzi na kikosi cha
Mnyama.
Kocha wa Liverpool Jurgen Klopp katika hali isiyokuwa ya kawaida
ameibukia na kutoa kauli kuwa nusura ampigie makofi mshambuliaji wa
Leicester City Jamie Vardy kutokana na goli alilolifunga dhidi ya
Liverpool janausiku.
Ni miaka minne imepita toka auwawe aliyekuwa Rais wa Libyakanali Muammar Gaddafi na vikundi vya waasi wa nchi hiyo, Gaddafialikuwa
kiongozi ambaye ana miliki vitu vya thamani kubwa kama gari la kifahari
lakini alikuwa ana miliki Bastola iliyopambwa kwa dhahabu.