Upinzani kati ya Mourinho na Guardiola utaendelea
Thierry Henry ni mchezaji mwenye heshima kubwa kwenye historia ya
Arsenal, baada ya mechi ya Swansea alitoa maoni yake ambayo mashabiki wa
Arsenal lazima watampa support.
Zinedine Zidane ameshika nafasi ya nne mbele ya Luis Figo na legend
wa Juventus Del Piero huku nafasi ya tatu na ya pili ikishikiliwa na
Messi pamoja na Ronaldinho.
Hii inatokana na mafanikio waliyojipatia nyota hawa katika kipindi cha miaka 20.