Wednesday, 4 January 2017

Phil Neville amwaga mitusi Valencia

vv
Phil Neville alishindwa kuzuia hisia zake baada ya Valencia kuendelea kupata matokeo mabovu hasa baada ya kufungwa nyumbani magoli 4-1 na kupoteza tena mechi dhidi ya Celta Vigo 1-0 kwenye Copa Del Rey.