Pamoja na hao wawili pia hawamo Mkongwe Ronaldinho na Winga wa PSG, Lucas Moura.
Wachezaji wanne wa Chelsea, David Luiz,
Oscar, Ramires na Willian, wote wamo ila Viungo wawili wa Liverpool,
Philippe Coutinho na Lucas Leiva, wamekosa namba, huku Paulinho wa
Tottenham na Fernandinho wa Man City, wakiwemo kundini.
Brazil, pamoja na Nchi nyingine zote
zinazocheza Fainali, zinapaswa kusajili Vikosi vyao vya Wachezaji 23 kwa
FIFA ifikapo Juni 2.
Brazil, ambao kwenye Fainali za Kombe la
Dunia wapo KUNDI A pamoja na Croatia, Mexico na Cameroon, watacheza
Mechi ya Kirafiki na Panama Juni 3 huko Golania, Brazil na kisha Juni 6
kuivaa Serbia huko Sao Paulo, Brazil.
Brazil watafungua rasmi Kombe la Dunia hapo Juni 12 kwa kuivaa Croatia katika Mechi ya KUNDI A.
KIKOSI KAMILI:
MAKIPA: Julio Cesar (Toronto FC, Mkopo toka QPR), Jefferson (Botafogo), Victor (Atletico Mineiro).
MABEKI: Marcelo (Real
Madrid), Daniel Alves (Barcelona), Maicon (AS Roma), Maxwell and Thiago
Silva (both Paris St-Germain), David Luiz (Chelsea), Dante (Bayern
Munich), Henrique (Napoli).
VIUNGO: Paulinho
(Tottenham Hotspur), Ramires (Chelsea), Willian (Chelsea), Oscar
(Chelsea), Hernanes (Inter Milan), Luiz Gustavo (Wolfsburg), Fernandinho
(Manchester City).
MAFOWADI: Bernard (Shakhtar Donetsk), Neymar (Barcelona), Fred (Fluminense), Jo (Atletico Mineiro), Hulk (Zenit St Petersburg).
KOMBE la DUNIA
No comments:
Post a Comment