Tuesday, 24 May 2016
MSANII WA KIMATAIFA KUTOKA MAREKANI NE-YO AONYESHA UTOFAUTI WAKE KATI NA YAKE WASANII WA TANZANIA --JIONEE HAPA
(1)Kilichofanyika kabla ya NE-YO kupanda jukwaani kuanza kuimba...
(2)Diamond na Ney wa mitego walichokifanya kwa pa1
(3)Baraka da prince kuimba wimbo MPYA ya Alikiba na mashabiki kupiga kelele za shwangwe
JIONEE VIDEO HII
Na kwa matukio ya picha Follow me instagram - kitomix_the_one
Saturday, 5 March 2016
Arsene Wenger amchana Thierry Henry
Thierry Henry ni mchezaji mwenye heshima kubwa kwenye historia ya Arsenal, baada ya mechi ya Swansea alitoa maoni yake ambayo mashabiki wa Arsenal lazima watampa support.
ROONEY AONGOZA KATIKA WACHEZAJI NAMBA 10 BORA ZILIZOWAHI KUTOKEA NDANI YA MIAKA 20..JIONEE LIST KAMILI HAPA
Zinedine Zidane ameshika nafasi ya nne mbele ya Luis Figo na legend wa Juventus Del Piero huku nafasi ya tatu na ya pili ikishikiliwa na Messi pamoja na Ronaldinho.
Hii inatokana na mafanikio waliyojipatia nyota hawa katika kipindi cha miaka 20.
Sunday, 21 February 2016
Hii ndio list ya viwanja 10 vyenye thamani zaidi Afrika, Tanzania je?
Huenda ukawa upo Tanzania lakini hili ukawa hulifahamu mtu wangu, tumezoea kusikia kuwa Tanzania ni nchi ambayo inatambulishwa vivutio vya utalii hususani mlima Kilimanjaro.
Wednesday, 17 February 2016
Jionee hapa TOP 5 ya simu za gharama zaidi duniani kwa mwaka 2015/2016
Mtu wangu wa nguvu kama bado hujakutana
na list ya zinazotajwa kuwa simu zenye thamani zaidi duniani, mtu wako
wa nguvu nimekutana nayo list hiyo, mara nyingi tumezoea kuona na
kusikia mtu akinunua simu kwa gharama ya juu huenda ikawa ni kati ya Tsh milioni 1 hadi milioni mbili, ila hii ni TOP 5 ya simu kali na zenye thama duniani
Monday, 8 February 2016
KWA MARA YA KWANZA JIJINI MWANZA LIMEFANYIKA SHINDANO LA (MISS ALBINO MWANZA) NA KUPATIKANA MSHINDI,...JIONEE PICHA HAPA ZAIDI YA 30.
Shindano la miss Albino limefanyika jijini mwanza ili kumpata mwakilishi ambaye atawaiwakilsha mwanza katika shindano la miss Albino Tanzania.
Washiriki wakiingia ukumbi wa Gold Crest kwa ajili ya kuanza shindano.
Thursday, 4 February 2016
WABUNGE WA SIMBA SC WAMEJUMUIKA NA WACHEZAJI WA SIMBA WAKIWA NJIANI KUELEKEA SHINYANGA.
Simba imesimama kwa muda mjini Dodoma na kuzungumza na baadhi ya wabunge wakiwemo Azzan Zungu, Juma Nkamia na wengine wenye mapenzi na kikosi cha Mnyama.
Wednesday, 3 February 2016
GOLI LA VARDY LAMKUNA KLOPP, ATOBOA ALICHOTAKA KUFANYA
Kocha wa Liverpool Jurgen Klopp katika hali isiyokuwa ya kawaida ameibukia na kutoa kauli kuwa nusura ampigie makofi mshambuliaji wa Leicester City Jamie Vardy kutokana na goli alilolifunga dhidi ya Liverpool janausiku.
Jionee hapa Mahali ilipo na muonekano wake wa sasa bastola ya dhahabu ya Muammar Gaddafi
Ni miaka minne imepita toka auwawe aliyekuwa Rais wa Libya kanali Muammar Gaddafi na vikundi vya waasi wa nchi hiyo, Gaddafi alikuwa
kiongozi ambaye ana miliki vitu vya thamani kubwa kama gari la kifahari
lakini alikuwa ana miliki Bastola iliyopambwa kwa dhahabu.
Monday, 25 January 2016
HATIMAYE KATUMBI AAFIKI SAMATTA KWENDA GENK, KIJANA ANATUA DAR KESHO KWA SAFARI YA UBELGIJI KWENDA KUANZA MAISHA MAPYA
HATIMAYE bilionea Moise Katumbi Chapwe, Rais wa klabu ya TP Mazembe ya DRC amekubali mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Ally Samatta ajiunge na KRC Genk ya Ligi Kuu ya Ubelgiji. Na Samatta anatarajiwa kurejea Dar es Salaam kesho kwa ajili ya safari ya Ubelgiji kwenda kuanza maisha mapya katika soka ya Ulaya. Samatta tayari amekwishasaini Mkataba wa awali na Genk wa miaka minne na sasa anakwenda kukamilisha taratibu. Samatta na Genk wanataka kukimbizana na muda ili kuwahi kabla ya dirisha dogo la usajili halijafungwa, angalau mapema Februari Mwanasoka huyo Bora Anayecheza Afrika aanze kucheza Ubelgiji.
Meneja wa Samatta, Jamal Kisongo amesema kwamba Katumbi ameridhia Samatta aende klabu anayopenda.
Thursday, 21 January 2016
Rais Magufuli ameendelea kufanya uteuzi katika sekta mbalimbali,Na huu ndio uteuzi mpya alioufanya leo.
Alhamisi January 21 2016 ni siku nyingine ambayo Rais Magufuli
kaendelea na moja ya majukumu yake kama Rais wa nchi, jukumu la leo ni
kwamba kaendelea na uteuzi wa viongozi kwenye nafasi mbalimbali, uteuzi
wa leo imelirudisha pia jina la Rais Mstaafu wa awamu ya nne, Mzee Jakaya Mrisho Kikwete.
Licha ya kusuasua uwanjani, kumbe Man United bado wako pazuri sana kifedha..liaat hii hapa
Klabu ya Real Madrid
imeendelea kushika usukani kwa miaka 11 sasa katika kuingiza kiasi
kikubwa cha pesa kupitia mapato yake…kwa msimu wa 2014/15 imeingiza
kiasi cha Euro milioni 577.
Sunday, 17 January 2016
HIVI NDIVYO OZIL ALIVYOANGALIA MECHI YA STOKE CITY VS ARSENAL KUPITIA RUNINGA AKIWA HOME
Mesut
Ozil anayeongoza kwa pasi zilizozaa mabao Premier League alikuwa
nyumbani tu akiishudia timu yake ya Arsenal ikitoka sare ya bila mabao
dhidi ya Stoke City.
Friday, 15 January 2016
GARI Aina ya BMW Anayomiliki Masanja Mkandamizaji Yawa Gumzo...Mwenyewe Awataka TRA Wakaikague Kama Hajalipia Ushuru
Thursday, 14 January 2016
Mashabiki wa soka Ujerumani wamempigia kura Ozil na kushinda tuzo hii kwa mara ya nne …
January 14 tovuti ya timu ya taifa ya Ujerumani imetangaza jina la mchezaji bora wa kikosi cha timu ya taifa ya Ujerumani
kwa mwaka 2015, tovuti hiyo imetangaza jina hilo la mchezaji bora wa
mwaka 2015 baada ya mashabiki 51000 kupiga kura na asilimia 45.9 ya kura
hizo kumuangukia Mesut Ozil.
Watakaoathirika kutokana na kufungiwa huko kwa Real Madrid na Atletico Madrid ni hawa wafuatao.
Kamati
ya nidhamu ya Shirikisho la Soka la Kimataifa (Fifa) limezifungia klabu
vigogo wa Real Madrid na Atletico Madrid kufanya usajili wowote hadi
wakati wa majira ya koto yaani Julai 2017.
Jionee hapa Picha 30 za daraja la Kigamboni linalojengwa juu ya Bahari jijini Dar
Saturday, 2 January 2016
Achana na Lexus ya mabox, cheki na hii yenye matairi ya barafu !!(+Pichaz)
Kama kuna vitu vinayakimbiza maisha kwenye kasi ya ajabu, basi teknolojia nayo imo… uliipata ile ya Lexus iliyotengenezwa kwa mabox, ikafungwa mota alafu ikaingia barabarani na kutembea kama gari tulizozoea?
Subscribe to:
Posts (Atom)