![]() |
Mtu wa kazi; Radamel Falcao amehamia Manchester United kwa mkopo kutoka Monaco ya Ufaransa |
DIRISHA
la usajili limefungwa usiku wa kuamkia leo na klabu mbalimbali zilikuwa
kwenye pilika za kukamilisha uhamisho wa nyota mbalimbali waliokuwa
wakiwahitaji.
KITOMIXNEWS inakuletea orodha ya wachezaji wote wapya waliosajiliwa pamoja
na wale ambao wameondoka kwenye klabu zao baada ya kufungwa kwa usajili
mkubwa wa majira haya.
ARSENAL
WALIOINGIA
Alexis Sanchez (Barcelona, Pauni Milioni 30), Calum Chambers (Southampton, Pauni Milioni 12), Mathieu Debuchy (Newcastle, Pauni Milioni 10), David Ospina (Nice, Pauni Milioni 3), Danny Welbeck (Manchester United, Pauni Milioni 16)
WALIOONDOKA
Thomas Vermaelen (Barcelona, Pauni Milioni 15), Johan Djourou (Hamburg, dau halijatajwa), Thomas Eisfeld (Fulham, dau halijatajwa), Bacary Sagna (Manchester City, huru), Lukasz Fabianski (Swansea, huru), Nicklas Bendtner (Wolfsburg, huru), Park Chu-young (ametemwa), Chuks Aneke (Zulte Waregem, huru), Daniel Boateng (ametemwa), Wellington Silva (Almeria, mkopo), Carl Jenkinson (West Ham, mkopo), Benik Afobe (MK Dons, mkopo), Ignasi Miquel (Norwich, dau halijatajwa), Ryo Miyaichi (Twente, mkopo)
ASTON VILLA
WALIOINGIA
Carlos Sanchez (Elche, Pauni Milioni 4.7), Aly Cissokho (Valencia, Pauni Milioni m), Philippe Senderos (Fulham, huru), Joe Cole (West Ham, huru), Tom Leggett (Southampton, dau halijatajwa), Isaac Nehemie (Southampton, dau halijatajwa), Kieran Richardson (Fulham, dau halijatajwa)
WALIOONDOKA
Marc Albrighton (Leicester City, huru), Nathan Delfouneso (Blackpool, huru), Jordan Bowery (Rotherham, dau halijatajwa), Samir Carruthers (MK Dons, dau halijatajwa), Nicklas Helenius (Aalborg, mkopo), Yacouba Sylla (Kayseri Erciyesspor, mkopo), Jed Steer (Doncaster Rovers, mkopo), Antonio Luna (Hellas Verona, mkopo), Aleksandar Tonev (Celtic, mkopo), Joe Bennett (Brighton, mkopo), Gary Gardner (Brighton, mkopo)
BURNLEY
WALIOINGIA
Lukas Jutkiewicz (Middlesbrough, Pauni Milioni 2.5), Michael Kightly (Stoke, dau halijatajwa), Stephen Ward (Wolves, dau halijatajwa), Marvin Sordell (Bolton, huru), Matt Gilks (Blackpool, huru), Matt Taylor (West Ham, huru), Steven Reid (West Brom, huru), George Boyd (Hull, Pauni Milioni 3), Michael Keane (Manchester United, mkopo), Nathaniel Chalobah (Chelsea, mkopo)
WALIOINGIA
Chris Baird (West
Brom, huru), Junior Stanislas (Bournemouth, huru), David Edgar
(Birmingham, huru), Keith Treacy (Barnsley, huru), Brian Stock
(ametemwa), Nick Liversedge (Guisborough Town, huru), Luke O'Neill
(Scunthorpe, mkopo)
WALIOINGIA
Cesc Fabregas (Barcelona, Pauni Milioni 30), Diego Costa (Atletico Mdrid, Pauni Milioni 32), Filipe Luis (Atletico, Pauni Milioni 16), Loic Remy (QPR, Pauni Milioni 8), Mario Pasalic (Hadjuk Split, dau halijatajwa), Didier Drogba (Galatasaray, huru)
WALIOTOKA
David Luiz (Paris Saint-Germain, Pauni Milioni 50), Romelu Lukaku (Everton, Pauni Milioni 28), Demba Ba (Besiktas, Pauni Milioni 8), Ashley Cole (Roma, Pauni Milioni 1.5), Patrick van Aanholt (Sunderland, dau halijatajwa), Samuel Eto'o (Everton, huru), Frank Lampard (New York City, huru), Sam Hutchinson (Sheffield Wednesday, huru), Henrique Hilario (amestaafu), Wallace (Vitesse Arnhem, mkopo), Bertrand Traore (Vitesse Arnhem, mkopo) Thorgan Hazard (Borussia Monchengladbach, mkopo), Mario Pasalic (Elche, loan), Ryan Bertrand (Southampton, mkopo), Gael Kakuta (Rayo Vallecano, mkopo), John Swift (Rotherham, mkopo, Oriol Romeu (Valencia, mkopo) Christian Atsu (Everton, mkopo), Victor Moses (Stoke, mkopo), Marko Marin (Fiorentina, mkopo), Josh McEachran (Vitesse Arnhem, mkopo), Patrick Bamford (Middlesbrough, mkopo), Fernando Torres (AC
Milan, mkopo) Marco van Ginkel (AC Milan, mkopo), Nathaniel Chalobah
(Burnley, mkopo), Jamal Blackman (Middlesbrough, mkopo)
CRYSTAL PALACE
WALIOINGIA
Martin Kelly (Liverpool, Pauni Milioni 1.5), Fraizer Campbell (Cardiff, Pauni 800,000), Chris Kettings (Blackpool, huru), Brede Hangeland (Fulham, huru), Wilfried Zaha (Manchester United, mkopo, Zeki Fryers (Tottenham, Pauni Milioni 3), James McArthur (Wigan, Pauni Milioni 7), Kevin Doyle (Wolves, mkopo)
WALIOTOKA
Jonathan Parr (Ipswich, huru), Dean Moxey (Bolton, huru), Aaron Wilbraham (Bristol City, huru), Kagisho Dikgacoi (Cardiff, huru), Danny Gabbidon (Cardiff, huru), Neil Alexander (Hearts, huru), Ibra Sekajja (ametemwa), Alex Wynter (Portsmouth, mkopo), Kwesi Appiah (Cambridge, mkopo), Jose Campana (Sampdoria, dau halijatajwa), Jack Hunt (Nottingham Forest, mkopo), Stephen Dobbie (Fleetwood, mkpo), Glenn Murray (Reading, mkopo)
EVERTON
WALIOINGIA
Romelu Lukaku (Chelsea, Pauni Milioni 28), Gareth Barry (Manchester City, huru), Samuel Eto'o (Chelsea, mkopo), Muhamed Besic (Ferencvaros, Pauni Milioni 4), Brendan Galloway (MK Dons, dau halijatajwa) Christian Atsu (Chelsea, mkopo)
WALIOONDOKA
Apostolos Vellios, (Lierse, huru), Magaye Gueye (Millwall, huru), Shane Duffy (Blackburn, dau halijatakwa)
HULL
WALIOINGIA
Robert Snodgrass (Norwich, Pauni Milioni 8), Jake Livermore (Tottenham, Pauni Milioni 6), Michael Dawson (Tottenham, Pauni Milioni 6), Mohamed Diame (West Ham, Pauni Milioni 3.5), Harry Maguire (Sheffield United, Pauni Milioni 2.5), Andrew Robertson (Dundee United, Pauni Milioni 2.85), Brian Lenihan (Cork City, dau halijatajwa), Tom Ince (Blackpool, huru), Gaston Ramirez (Southampton, mkopo), Hatem ben Arfa (Newcastle, mkopo), Abel Hernandez (Palermo, Pauni Milioni 10), Mohamed Diame (West Ham, Paini 3.5m)
WALIOOMDOKA
Shane Long (Southampton, Pauni Milioni 12), Matty Fryatt (Nottingham Forest, huru), Cameron Stewart (Ipswich, huru), Nick Proschwitz (Brentford, huru), Robert Koren (Melbourne City, huru), Abdoulaye Faye (ametemwa), Conor Henderson (Crawley, huru), Dougie Wilson (ametemwa), Conor Townsend (Dundee United, mkopo), Joe Dudgeon (Barnsley, mkopo), George Boyd (Burnley, Pauni Milioni 3)
LEICESTER CITY
WALIOINGIA
Leonardo Ulloa (Brighton, Pauni Milioni 7), Danny Simpson (QPR, dau halijatajwa), Esteban Cambiasso (Inter Milan, huru), Matthew Upson (Brighton, huru), Marc Albrighton (Aston Villa, hueu), Ben Hamer (Charlton, fhuru), Jack Barmby (Manchester United, huru), Louis Rowley (Manchester United, huru), Tom Lawrence (Manchester United, Pauni Milioni 1), Nick Powell (Manchester United, mkopo), Kris Scott (Swansea, huru)
WALIOOMDOKA
Lloyd Dyer (Watford, huru), Neil Danns (Bolton, huru), Sean St Ledger (ametemwa),
Zak Whitbread (Derby, huru), Paul Gallagher (Preston, mkopo), Marko
Futacs (Mersin Idmanyurdu, huru), George Taft (Burton Albion, huru),
Conrad Logan (Rochdale, mkopo), Ryan Watson (Northampton, mkopo)
LIVERPOOL
WALIOINGIA
Adam Lallana (Southampton, Pauni Milioni 23), Lazar Markovic (Benfica, Pauni Milioni 20), Mario Balotelli (AC Milan, Pauni Milioin16), Alberto Moreno (Sevilla, Pauni Milioni 12), Emre Can (Bayer Leverkusen, Pauni Milioni 9.8), Rickie Lambert (Southampton, Pauni Milioni 4) Dejan Lovren (Southampton, Pauni Milioni 20), Divock Origi (Lille, Pauni Milioni 10), Kevin Stewart (Tottenham, huru), Javier Manquillo (Atletico Madrid, mkopo)
WALIOONDOKA
Luis Suarez (Barcelona, Pauni Milioni 75), Pepe Reina (Bayern Munich Pauni Milioni 2), Martin Kelly (Crystal Palace, Pauni Milioni 1.5), Conor Coady (Huddersfield, Pauni 500,000), Daniel Agger (Brondby, dau halikutajwa, Jack Robinson (QPR, dau halikutajwa), Luis Alberto (Malaga, mkopo), Iago Aspas (Sevilla, mkopo), Andre Wisdom (West Brom, mkopo), Divock Origi (Lille, mkopo), Brad Smith (Swindon, mkopo), Joao Carlos Teixeira (Brighton, mkopo), Tiago Llori (Bordeaux, mkopo), Jordan Ibe (Derby, mkopo), Sebastian Coates (Sunderland, mkopo), Oussama Assaidi (Stoke, mkopo)
MANCHESTER CITY
WALIOINGIA
Eliaquim Mangala (Porto, Pauni Milioni 32), Fernando (Porto, Pauni Milioni 12, Willy Caballero (Malaga, Pauni Milioni 6), Bruno Zuculini (Racing Club, Pauni Milioni 3), Bacary Sagna (Arsenal, huru), Frank Lampard (New York City, mkopo)
WALIOONDOKA
Javi Garcia (Zenit, Pauni Milioni 13, Costel Pantilimon (Sunderland, fhuru), Joleon Lescott (West Brom, huru) Gareth Barry (Everton, huru), Alex Nimely (ametemwa), Rony Lopes (Lille, mkopo), Emyr Huws (Wigan, dau halijatawa), Reece Wabara (Doncaster Rovers, huru), Jack Rodwell (Sunderland, Pauni Milioni 7, Jason Denayer (Celtic, mkopo), Micah Richards (Fiorentina, mkopo), Alvaro Negredo (Manchester City, mkopo)
MANCHESTER UNITED
WALIOINGIA
Angel di Maria (Real Madrid Pauni Milioni 59.7), Luke Shaw (Southampton, Pauni Milioni 31.5), Ander Herrera (Athletic Bilbao, Pauni Milioni 29), Marcos Rojo (Sporting Lisbon, Pauni Milioni 16), Daley Blind (Ajax, Pauni Milioni 14), Vanja Milinkovic (FK Vojvodina, dau halijatajwa), Radamel Falcao (Monaco, mkopo)
WALIOONDOKA
Shinji Kagawa (Borussia Dortmund Pauni Milioni 6.3), Alexander Buttner (Dinamo Moscow, Pauni Milioni 5.6), Patrice Evra (Juventus, Pauni Milioni 2.5) Bebe (Benfica, Pauni Milioni 2.4m), Rio Ferdinand (QPR, huru), Nemanja Vidic (Inter Milan, huru), Federico Macheda (Cardiff City, huru), Jack Barmby (Leicester, huru), Louis Rowley (Leicester, huru) Ryan Giggs (amestaafu), Angelo Henriquez (Dinamo Zagreb, mkopo), Nani (Sporting Lisbon, mkopo), Wilfried Zaha (Crystal Palace, mkopo) Javier Hernandez (Real Madrid, mkopo), Tom Lawrence (Leicester, Pauni Milioni 1), Danny Welbeck (Arsenal, Pauni Milioni16), Nick Powell (Leicester, mkopo), Michael Keane (Burnley, mkopo)
NEWCASTLE
WALIOINGIA
Remy Cabella (Montpellier, Pauni Milioni 12), Emmanuel Riviere (Monaco, Pauni Milioni 6), Siem de Jong (Ajax, Pauni Milioni 6), Daryl Janmaat (Feyenoord, Pauni Milioni 5), Jamaal Lascelles na Karl Darlow (Nottingham Forest, Pauni Milioni 7- kwa pamoja), Ayoze Perez (Tenerife, Pauni Milioni 1.5), Jack Colback (Sunderland, huru), Facundo Ferreyra (Shakhtar Donetsk, mkopo)
WALIOONDOKA
Mathieu Debuchy (Arsenal, Pauni Milioni 10m), James Tavernier (Wigan, dau halijatajwa), Dan Gosling (Bournemouth, huru), Shola Ameobi (Gaziantep, huru), Romain Amalfitano (Dijon, huru), Conor Newton (Rotherham, huru), Michael Richardson (ametemwa), Sylvain Marveaux (Guingamp, mkopo), Jamaal Lascelles (Nottingham Forest, mkopo), Karl Darlow (Nottingham Forest mkopo), Adam Campbell (Fleetwood, mkopo), Mapou Yanga-Mbiwa (Roma, mkopo),Hatem ben Arfa (Hull, mkopo)
QUEENS PARK RANGERS
WALIOINGIA
Steven Caukler (Cardiff, Pauni Milioni 8), Leroy Fer (Norwich, Pauni Milioni 7), Jordon Mutch (Cardiff, Pauni Milioni 6), Alex McCarthy (Reading, Pauni Milioni 6, Jack Robinson (Liverpool, dau halijatajwa), Rio Ferdinand (Manchester United, huru), Mauricio Isla (Juventus, mkopo), Eduardo Vargas (Napoli, mkopo), Sandro (Tottenham, Pauni Milioni 10), Niko Kranjcar (Dynamo Kiev, mkopo)
WALIOONDOKA
Loic Remy (Chelsea, Pauni Milioni 8), Yossi Benayoun (Maccabi Haifa, dau halijatajwa), Esteban Granero (Real Sociedad, dau halijatajwa), Danny Simpson (Leicester, dau halijatajwa), Julio Cesar (Benfica, huru), Tom Hitchcock (Mk Dons, huru), Aaron Hughes (Brighton, huru), Gary O'Neil (Norwich, huru), Stephabne Mbia (Sevilla, huru), Andrew Johnson (ametemwa), Luke Young (ametemwa), Hogan Ephraim (ametemwa), Angelo Balanta (ametemwa), Park Ji-sung (amestaafu), Jack Robinson (Huddersfield, mkopo), Samba Diakite (Al-Ittihad, mkopo)
SOUTHAMPTON
WALIOINGIA
Shane Long (Hull, Pauni Milioni 12), Sadio Mane (Red Bull Salzburg (Pauni Milioni 11.8), Dusan Tadic (Twente, Pauni Milioni 10.3), Fraser Forster (Celtic, Pauni Milioni 10), Graziano Pelle (Feyenoord, Pauni Milioni 8), Florin Gardos (Steaua Bucharest, dau halijatajwa), Ryan Bertrand (Chelsea, mkopo), Toby Alderweireld (Atletico Madrid, mkopo)
WALIOONDOKA
Luke Shaw (Manchester United, Pauni Milioni 31.5), Adam Lallana (Liverpool, Pauni Milioni 23), Dejan Lovren (Liverpool, Pauni Milioni 20), Calum Chambers (Arsenal, Pauni Milioni 12), Rickie Lambert (Liverpool, Pauni Milioni 4), Billy Sharp (Leeds, dau halijatajwa), Tom Leggett (Aston Villa, dau halijatajwa), Isaac Nehemie (Aston Villa, dau halijatajwa), Guly do Prado (ametemwa), Lee Barnard (Southend, huru), Jonathan Forte (Oldham, huru), Danny Fox (Nottingham Forest, huru), Andy Robinson (Bolton, huru), Dani Osvaldo (Inter Milan, mkopo), Jos Hooiveld (Norwich, mkopo), Gaston Ramirez Hull (mkopo), Jack Stephens (Swindon, mkopo)
STOKE
WALIOINGIA
Mame Biram Diouf (Hannover, huru), Dionatan Teixeira (Banska Bystrica, dau halijatwa), Phil Bardsley (Sunderland, huru), Steve Sidwell (Fulham, huru), Bojan Krkic (Barcelona, dau halijatajwa), Victor Moses (Chelsea, mkopo), Oussama Assaidi (Liverpool, mkopo)
WALIOONDOKA
Michael Kightly (Burnley, dau halijatajwa), Cameron Jerome (Norwich, dau halijatajwa), Matthew Etherington (ametemwa), Juan Agudelo (ametemwa), Jamie Ness (Crewe, mkopo), Ryan Shotton (Derby, mkopo
SUNDERLAND
WALIOINGIA
Jack Rodwell (Man City, Pauni Milioni 7), Patrick van Aanholt (Chelsea, dau halijatajwa), Billy Jones (West Brom, huru), Jordi Gomez (Wigan, huru), Costel Pantilimon (Manchester City, huru), Santiago Vergini (Estudiantes, mkopo), Will Buckley (Brighton, Pauni Milioni 2.5), Sebastian Coates (Liverpool, mkopo), Ricky Alvarez (Inter Milan, mkopo)
WALIOONDOKA
Ignacio Scocco (Newell's, Pauni 800,000), David Moberg Karlsson (Nordsjaelland, dau halijatawaj), Jack Colback (Newcastle, huru), Craig Gardner (West Brom, huru), Phil Bardsley (Stoke, huru), Billy Knott (Bradford, huru) Keiren Westwood (Sheffield Wednesday, huru), Carlos Cuellar (Norwich, huru), Andrea Dossena (ametemwa), Louis Laing, Nottingham Forest, huru), Oscar Ustari (Newell's, huru), David Vaughan (Nottingham
Forest, huru), John Egan (Gillingham, huru), Alfred N'Diaye (Real
Betis, huru), El Hadji Ba (Bastia, mkopo), Modibo Diakite (huru),
Valentin Roberge (Stade de Reims, mkopo)
SWANSEA
WALIOINGIA
Federico Fernandez (Napoli, Pauni Milioni 8), Jefferson Montero (Monarcas Morelia, Pauni Milioni 4), Marvin Emnes (Middlesbrough, Pauni Milioni 1.5), Stephen Kingsley (Falkirk, dau halijatajwa), Gylfi Sigurdsson (Tottenham, amebadilishwa kwa mchezaji), Adnan Maric, GAIS, dau halijatajwa), Daniel James (Hull, dau halijatajwa), Bafetimbi Gomis (Lyon, huru), Lukasz Fabianski (Arsenal, huru), Giancarlo Gallifuoco (Tottenham, huru), James Demetriou (Nottingham Forest, huru), Tom Carroll(Tottenham, mkopo), Modo Barrow (Ostersunds, dau halijatajwa)
WALIOODOKA
Ben Davies (Tottenham, Pauni Milioni 10), Michel Vorm (Tottenham, Pauni Milioni 5) Alejandro Pozuelo (Rayo Vallecano, dau halijatajwa), Leroy Lita (Barnsley, huru), Chico Flores (Lekhwiya, huru), Pablo Hernandez (Al
Arabi, huru), Darnel Situ (AGF, huru), David N'Gog (Stade de Reims,
huru), Jose Canas (Espanyol, huru), Jernade Meade (ametemwa), Michu (Napoli, mkopo), Daniel Alfei (Northampton, mkopo), Alex Bray (Plymouth Argyle, mkopo), Kris Scott (Leicester, fhuru)
TOTTENHAM
WALIOINGIA
Federico Fazio (Sevilla, Pauni Milioni 8), Ben Davies (Swansea, amebadilishwa kwa mhezaji), Michel Vorm (Swansea, Pauni Milioni 5), Benjamin Stambouli (Montpellier, Pauni Milioni 4.7), Eric Dier (Sporting Lisbon, Pauni Milioni 4) DeAndre Yedlin (Seattle Sounders, daun halijatajwa, atahamia 2015)
WALIOONDOKA
Jake Livermore (Hull, Pauni Milioni 6), Michael Dawson (Hull, Pauni Milioni 6), Gylfi Sigurdsson (Swansea, amebadilishwa kwa mchezaji), Iago Falque (Genoa, Pauni Milioni 4) Heurelho Gomes (Watford, huru), Giancarlo Gallifuoco (Swansea, huru) Cameron Lancaster (Stevenage, huru), Kevin Stewart (Liverpool, hjuru), Alex Pritchard (Brentford, mkopo), Shaquile Coulthirst (Southend, mkopo), Tom Carroll (Swansea, mkopo), Ryan Fredericks (Middlesbrough,
mkopo), Zeki Fryers (Crystal Palace, Pauni Milioni 3), Jonathan Obika
(Swindon Town, dau halijatajwa), Tomislav Gomelt (Bari, dau
halijatajawa), Souleymane Coulibaly (Bari, dau halijatajwa), Lewis
Holtby (Hamburg, mkopo), Sandro (QPR, Pauni Milioni 10)
WEST BROMWICH ALBION
WALIOINGIA
Brown Ideye (Dynamo Kiev, Pauni Milioni 10), Sebastien Pocognoli (Hannover 96, dau halijatajwa), Sebastian Blanco (Metalist, dau halijatajwa), Jason Davidson (Heracles, dau halijatajwa), Cristian Gamboa (Rosenborg, dau halijatajwa), Georgios Samaras (Celtic, huru), Craig Gardner (Sunderland, huru), Joleon Lescott (Manchester City huru), Chris Baird (Burnley, huru), Andre Wisdom (Liverpool, mkopo), Silvestre Varela (Porto, mkopo)
WALIOONDOKA
Liam Ridgewell (Portland Timbers, huru), Billy Jones (Sunderland, huru), Steven Reid (Burnley, huru), Cameron Gayle (Shrewsbury, huru), Diego Lugano (ametemwa), Zoltan Gera, Ferencvaros), Nicolas Anelka (wametemwa), George Thorne (Derby County, dau halijatajwa)
WEST HAM
WALIOINGIA
Enner Valencia (Pachuca, Pauni Milioni 12), Cheikhou Kouyate (Anderlecht, Pauni Milioni 7), Mauro Zarate (Velez Sarsfield, dau halijatajwa), Diafra Sakho (Metz, dau halijatajwa), Aaron Cresswell (Ipswich, dau halijatajwa), Diego Poyet (Charlton, dau halijatajwa), Carl Jenkinson (Arsenal, mkopo), Alex Song (Barcelona, mkopo), Morgan Amalfitano (Marseille, Pauni Milioni 1)
WALIOONDOKA
Mohamed Diame (Hull, Pauni Milioni 3.5), Joe Cole (Aston Villa, huru), Matt Taylor (Burnley, huru), Stephen Henderson (Charlton, huru), Jack Collison (ametemwa), George McCartney (ametemwa), Callum Driver (Whitehawk, huru), Jordan Spence (MK Dons), George Moncur (Colchester, huru), Alou Diarra (ametemwa), Modibo Maiga (Metz, mkopo), Mohamed Diame (Hull, Pauni Milioni 3.5)
No comments:
Post a Comment