Tuesday, 27 January 2015
Thursday, 22 January 2015
HICHI NDICHO ALICHOKISEMA MAKAMBA JUU YA CHAMA CHAKE..
Shindano la Nani Mkali: Jokate na Lulu Michael ...Aya ndio matokeo..
HII NDIYO NDEGE INAYOPAA KUTUMIA NISHATI YA JUA..JIONEE HAPA VIDEO YAKE IKIWA ANGANI,,
![solar](http://i0.wp.com/millardayo.com/wp-content/uploads/2015/01/solar.jpg?resize=528%2C290)
Dunia na teknolojia yake, kila siku kuna mapya kwa hiyo hatutoacha kushangazwa nayo kila yanapojitokeza.
Nikufahamishe kwamba hii ndege inaitwa ‘Solar Impulse 2′, inatumia mwanga wa jua tu kuzalisha nguvu ya umeme ambayo inaifanya iruke.
Wednesday, 21 January 2015
JE WANAWAKE WA MJINI KUJIFUNGUA KWA NJIA HII NI BIASHARA AU NI UOGA..SOMA HAPA...
CHEKI HAPA CHANNEL MPYA YA TV AMBAYO ITAKUWA GUMZO AFRIKA .....
Habari njema kwa wasanii na waandaaji wa vipindi vya utamaduni pamoja na
ngoma za asili....Chanel mpya inayopatikana startv ndan ya king'amuz cha
continental Chanel namba 109 Star Afroculture inapokea kazi hizo pamoja na
mahojiano na wasanii mbali mbali....wasilisha kupitia email yetu. wasiliana
ZITO KABWE ATOA YA MOYONI KUHUSU CHADEMA…SOMA HAPA......
![Zitto-Kabwe](http://i0.wp.com/millardayo.com/wp-content/uploads/2015/01/Zitto-Kabwe.jpg?resize=577%2C350)
Magazeti yaliyotoka siku chache zilizopita yaliripoti taarifa ya Mbunge Zitto Kabwe kurudi tena CHADEMA, millardayo.com imepata exclusive interview na Zitto Kabwe, kazungumzia shu hiyo.
Jina la Ikulu ya Tanzania Latumika Katika Utapeli wa Ajira, Ikulu yatahadharisha Juu ya Utapeli Huo
Kurugenzi ya mawasiliano Ikulu jijini Dar es salaam nchini Tanzania
imetoa tahadhari kwa wananchi juu ya kuwepo kwa baadhi ya watu ambao ni
matapeli na wanatumia vibaya jina la ikulu kwa kusema kwamba kuna nafasi
za ajira na wana uwezo wa kuwapatia ajira kwa kutoa fedha.
Tuesday, 20 January 2015
HAYA NDIO MAAJABUNdugu wa marehemu wameukosa mwili wa mtu wao, kaburi halikuachwa wazi!tazama hii video Video
![http://i0.wp.com/millardayo.com/wp-content/uploads/2015/01/K24.jpg](http://i0.wp.com/millardayo.com/wp-content/uploads/2015/01/K24.jpg)
“Inatolewa
inapelekwa mahali pengine ambayo hata hatujui ni ajabu sana… Sisi
tumesema tunataka mwili wa mtoto wetu, tunataka mwili wa mtoto wetu mara
moja” alisema ndugu wa marehemu.
Mwigulu Nchemba kuhusu Urais, Escrow, kiongozi wa Upinzani anayemvutia huyu hapa,,
Kama umepitwa na show ya Mkasi,
hii ilikuwa ya Naibu Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba, mengi
kayazungumza humu ikiwemo ishu ya kutangaza kugombea Urais, Escrow,
skafu yake na pia kamtaja kingozi wa upinzani anayemvutia.
Ishu ya kutamani kugombea Urais; “Hata kama ningetamani kwa kiwango gani, kama sitatimiza majukumu haya niliyopewa hakuna mtu atakayeniamini…”
Rais
wa awamu ya nne ameweka rekodi yake ya kutokulinda wahalifu… Ni Rais
huyu huyu aliruhusu Waziri wake Mkuu ajiuzulu, ukiangalia kwenye rekodi
ni Mawaziri wengi sana wameondoka. Mimi naamini anachotafuta ni hicho tu
kutenda haki…” hapa alikuwa akizungumzia ishu ya maamuzi ya Rais kuhusu Escrow.
![Nchemba I](http://i1.wp.com/millardayo.com/wp-content/uploads/2015/01/Nchemba-I.jpg?resize=431%2C222)
Kuhusiana na ishu ya Wafanyakazi wa TRA waliosababisha hasara ya Kodi, Nchemba alisema;
Subscribe to:
Posts (Atom)