Monday, 16 February 2015

JIONEE HAPA PICHA ZA MWISHO ZA SAFARI YA BABA AKE DULLY SYKES..MZEE EBBY SYKES...VIONGOZI WA SERIKALI NA WASANII WAONYESHA USHIRIKIANO WA KUTOSHA...

.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck Sadiki na Jaji mstaafu Joseph Warioba leo Feb 16 wameungana na  wananchi mbalimbali kwenye mazishi ya muimbaji mkongwe wa muziki nchini, Ebby Sykes ambaye ni baba mzazi wa msanii Dully Sykes.

Mazishi hayo yamefanyika kwenye makaburi ya Kisutu Dar es Salaam na hizi ni baadhi ya picha kutoka kwenye mazishi hayo.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
DSC_9662
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
DSC_9697
Msanii wa Filamu Dude.
DSC_9700
Kalapina.
.
Jaji Mstaafu Joseph Warioba.
DSC_9703
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck Sadiki.

.
Kaka wa Marehemu akizungumza machache.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
Chege.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
Dully Sykes akiwa na Mwanae.
.
.
.
Mr Blue.
.
Soggy Dog.
.
.
.
.
.
.
.
.

No comments:

Post a Comment