Leo ikiwa ni siku ya kutupa nyuma,Throwback ambapo watu hubandika picha
zao za zamani kwenye mitandao ya kijamii ususani INSTAGRAM, mrembo na
mwigizaji wa filamu anaewavutia wengi kwa uzuri na kipaji chake,
Elizabeth Michael ‘Lulu’ amebandika picha akiwa amebebwa
na Baba yake ‘Mzee Michael’ kipindi akiwa mtoto na
kuiandikia maneno kuwa yupo na baba yake mtanashati ambae amezaa chema
na kujinasibu kuwa wanafanana.
"Enjoy na Throwback, Sina cha maana wala Jipya la ku post..! My handsome daddy & I....!Mzee Michael, Mzaa Chema, My Twinnie"
No comments:
Post a Comment