Wednesday, 25 February 2015

WAZALIWA NA MAMA MMOJA ,WAUAWA NA KUTOLEWA MIOYO YA NA MAMA YAO.NA HII NDIO SAFARI YAO YA MWISHO..


SAMSUNG
Moja ya taarifa kutoka Nairobi Kenya ambayo ilisikitisha sana ni tukio la watoto watatu kuuawa na mwanamke mmoja ambaye baada ya kuwaua halafu akawapasua na kula mioyo ya watoto hao.
Mwanamke huyo Catherine Muthoni alimuua mtoto wake mmoja mwenye umri wa miaka kumi na baadaye kuua watoto hao wawili wa jirani.SAMSUNG
Tukio la leo katika eneo la makaburi ya Lang’ata limewatoa wengi machozi wakikumbuka jinsi watoto hao walivyofariki kwa mateso ambapo familia ya watoto hao wameamua kufanya mazishi ya watoto wote wawili kwenye kaburi moja.SAMSUNG
Mwanamke huyo anashikiliwa na Polisi kesi yake ikiendelea ambapo Mahakama iliagiza afanyiwe uchunguzi kama ana matatizo ya akili huku upelelezi wa kesi yake ukiendelea.

No comments:

Post a Comment