HAPPINESS WATIMANYWA NDIYE MSHINDI WA REDD'S MISS TANZANIA 22
![25_cf4d2.jpg](http://www.mjengwablog.com/images/25_cf4d2.jpg)
Happiness
Watimanywa akipungia mkono mara baada ya kutangazwa mshindi wa Taji hilo
kwa mwaka huu.Kushoto ni mshindi wa pili,Latifa Mohamed na kushoto ni
mshindi wa tatu,
![19_8fd14.jpg](http://www.mjengwablog.com/images/19_8fd14.jpg)
Warembo wa
Redd's Miss Tanzania 2013 wakiwa jukwaani usiku huu wakati wa Onyesho
la Taifa la Urembo linalofanyika kwenye Ukumbi wa Mlimani City jijini
Dar es Salaam.
![1_f9134.jpg](http://www.mjengwablog.com/images/1_f9134.jpg)
![2_d3e74.jpg](http://www.mjengwablog.com/images/2_d3e74.jpg)
![3_d9871.jpg](http://www.mjengwablog.com/images/3_d9871.jpg)
![21_2553f.jpg](http://www.mjengwablog.com/images/21_2553f.jpg)
![22_8230a.jpg](http://www.mjengwablog.com/images/22_8230a.jpg)
![23_60dc5.jpg](http://www.mjengwablog.com/images/23_60dc5.jpg)
Jaji Mkuu wa Shindano la Redd's Miss Tanzania,Dkt. Ramesh Shah akitangaza Warembo walioingia hatua ya tano bora.
![24_46dfe.jpg](http://www.mjengwablog.com/images/24_46dfe.jpg)
Warembo
walioingia hatua ya tano bora,toka shoto ni Happiness
Watimanya,Elizabert Peter,Clara Bayo,Lucy Tomeka pamoja na Latifa
Mohamed.
![8_87e0f.jpg](http://www.mjengwablog.com/images/8_87e0f.jpg)
![9_acccd.jpg](http://www.mjengwablog.com/images/9_acccd.jpg)
![10_651bd.jpg](http://www.mjengwablog.com/images/10_651bd.jpg)
![11_f76c4.jpg](http://www.mjengwablog.com/images/11_f76c4.jpg)
![12_45298.jpg](http://www.mjengwablog.com/images/12_45298.jpg)
![13_5fb64.jpg](http://www.mjengwablog.com/images/13_5fb64.jpg)
![14_5cf3b.jpg](http://www.mjengwablog.com/images/14_5cf3b.jpg)
Warembo wa
Redd's Miss Tanzania 2013 wakipita jukwaani na mavazi ya aina mbali
mbali wakati wa Onyesho la Taifa Redd's Miss Tanzania 2013 linalofanyika
usiku huu kwenye Ukumbi wa Mlimani City,jijini Dar es Salaam usiku huu.
![17_f6939.jpg](http://www.mjengwablog.com/images/17_f6939.jpg)
No comments:
Post a Comment