Watu wenye silaha hatari wavamia Westgate Shopping Center Kenya na kuuwa zaidi ya 15 na kujeruhi zaidi ya 5
![](http://3.bp.blogspot.com/-peE1LF2HkWY/Uj2z_zkm43I/AAAAAAAAp3Q/BUZ7m_g7tsg/s400/kk.jpg)
Watu wanaosemekana kuwa na silaha kali wavamia kituo cha biashara
"Westgate Shopping Mall" iliyoko Westland, Nairobi, Kenya, na kufyatua
risasi kwa watu waliokuwa katika jengo hilo wakifanya manunuzi ya bidhaa
mbalimbali, leo hii mida ya saa 06:50 mchana. idadi iliyothibitishwa ya
waliofariki imefikia 11 huku 31 wakiwa wamejeruhiwa, lakini kutokana na
shirika la msalaba mwekundu idadi ya waliofariki ni 22 huku zaidi ya 50
wakiwa wamejeruhiwa
Wavamizi hao ambao mpaka sasa hawajulikani ni akina nani na nini
wanachokihitaji wanasemekana kuingia katika jengo hilo wakiwa wamevaa... more »
No comments:
Post a Comment