Ommy Dimpoz yupogo ndani ya VOA (Voice Of America)AKIZIDI KUIWAKILISHA TZ KUPITIA MZIKI
Ommy Dimpoz ambae yuko Marekani kwa ajili ya shows kadhaa ndani ya wiki
3 zilizompeleka huko, amepata nafasi ya kuhojiwa na kituo cha VOA, na
kuzungumza mengi juu ya muziki wake.
Dimpoz akihojiwa na mtangazaji wa kituo hicho "Sunday Shomari" ambapo
alizungumzia kuhusu matatizo ya wasanii kutumia madawa ya kulevya
nchini, historia yake katika kazi yake ya muziki, tour iliyompeleka
huko, malengo yake ya baadae na mengine mengi.
Dimpoz anatarajia kuanza show yake ya kwanza ndani ya Washington DC siku
ya kesho na tayari mpaka sasa meza za VIP zimeshauzwa zote na kiingilio
chake ni dola 30 kwa wale wa kawaida
No comments:
Post a Comment