Monday, 4 November 2013

HII NDIYO NYUMBA YENYE THAMANI YA DOLA MILLION 48,INA UWANJA WA NDEGE HAPO HAPO NYUMBANI



article-2486741-1923386700000578-170_634x475
Nyumba hii ipo huko Las Vegas na ina acre 40 na indoor car parking kubwa sana kuingiza magari zaidi ya kumi kwa wakati mmoja. Upande wa mwingine ina zoo humohumo ndani,jet inayopark kwenye airport yako binafsi hapo mjengoni haina haja ya kwenda kwenye public airport. Ukitaka kumiliki hii nyumba inabidi zikutoke $ 48 millioni.

Vyumba vya kulala vipo vingi kiasi kwamba wakati mwingine inabidi kuwasiliana kwa simu chumba hadi chumba kwasababu ya umbali wa kufikia vyumba vingine.Kuna ofisi binafsi kiasi kwamba unaweza usiende sehemu yoyote kazi zako zote zikafanyika ndani ya hizi acre 40.
Upande wa michezo kuna uwanja wa kucheza golf,basket ball,swimming pool kubwa liliunganishwa nawater falls. Pia kuna eneo kubwa sana la wazi na humo ndani kumwekwa nakshi na material ya gharama kuanzia dinning,kitchen hadi vyumbani.
article-2486741-1923389000000578-571_634x475
article-2486741-1923388400000578-459_634x475
article-2486741-1923384200000578-540_634x475
article-2486741-1923382900000578-348_634x475
article-2486741-1923385B00000578-515_634x475
article-2486741-1923388C00000578-492_634x451
article-2486741-1923380800000578-702_634x844
article-2486741-1923381500000578-670_634x844
article-2486741-1923382500000578-798_634x475
article-2486741-1923384A00000578-337_634x844
article-2486741-1923383A00000578-296_634x475
article-2486741-1923380C00000578-233_634x475
article-2486741-1923381F00000578-807_634x475
article-2486741-1923380C00000578-233_634x475 (1)
article-2486741-192337E600000578-766_634x475
article-2486741-192337EA00000578-429_634x844
article-2486741-192337EF00000578-969_634x475
article-2486741-192337F300000578-339_634x475
article-2486741-192337FF00000578-13_634x475
article-2486741-192337E200000578-928_634x451
article-2486741-1923386700000578-170_634x475

No comments:

Post a Comment