![]() |
Anaitwa Mama Hilda,muigizaji mkongwe nchini Nigeria |
niwasili nchini hapa,lengo likiwa ni moja tu,
kuunganisha music wetu na wenzetu wa Nigeria,nitashoot video
ya number one remix
with my nicca Davido ,pamoja na kumalizia kazi niliyofanya
na mwanamziki mwingine wa hapa
Nigeria..kikubwa ni kuendeea kuwapa
mashabiki zangu kile haswa mnachokistahili kutokana na
sapoti kubwa
![]() |
Shoppin.....!!!! |
![]() |
Baada ya kutoka Gym,nikiwa na energy ya kutosha kabisa....!!! |
Bila shaka wafaham nini kimenileta hapa nchini...
hii ni special
kabisa kwa wewe shabiki wangu wa kweli
kukusanyia yale yoote
yatakayojili nyuma ya pazia..stay visting.
No comments:
Post a Comment