Kama umepitwa na show ya Mkasi,
hii ilikuwa ya Naibu Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba, mengi
kayazungumza humu ikiwemo ishu ya kutangaza kugombea Urais, Escrow,
skafu yake na pia kamtaja kingozi wa upinzani anayemvutia.
Ishu ya kutamani kugombea Urais; “Hata kama ningetamani kwa kiwango gani, kama sitatimiza majukumu haya niliyopewa hakuna mtu atakayeniamini…”
Rais
wa awamu ya nne ameweka rekodi yake ya kutokulinda wahalifu… Ni Rais
huyu huyu aliruhusu Waziri wake Mkuu ajiuzulu, ukiangalia kwenye rekodi
ni Mawaziri wengi sana wameondoka. Mimi naamini anachotafuta ni hicho tu
kutenda haki…” hapa alikuwa akizungumzia ishu ya maamuzi ya Rais kuhusu Escrow.
Kuhusiana na ishu ya Wafanyakazi wa TRA waliosababisha hasara ya Kodi, Nchemba alisema;