Thursday, 31 October 2013
SALAMU ZA PONGEZI ZAMIMINIKA KWA MALINZI
Salamu nyingine za zimetoka kwa Rais wa Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA), Sepp Blatter ambapo amempongeza Malinzi kwa kuchaguliwa na kumtakia kila la kheri katika majukumu yake ya kuongoza mchezo huo nchini.
MARUBANI WALIOTOROSHA TWIGA WALITUMIA HATI ZA KIDPLOMASIA
RAIS WA FIFA SEPP BLATTER AOMBA RADHI KWA CHRISTIANO RONALDO NA KLABU YA REAL MADRID.
SIR ALEX FERGUSON AVUNJA REKODI NYINGINE - MAUZO YA KITABU CHAKE YAFUNIKA
REUTERS
Kwa mujibu wa taarifa kutoka The Bookseller, kitabu hicho cha mocha wa zamani wa Manchester United kimevunja rekodi ya Delia Smith, ambaye kitabu chake cha mwaka 1999 cha mapishi kiliuza kopi 112,000 katika wiki take ya kwanza.
Pia kitabu cha Fergie kimevunja rekodi ya mauzo ya kitabu cha rafiki yake waziri mkuu wa zamani wa Uingereza Tony Blair, ambacho kiliuza kopi 92,000 katika wiki ya kwanza.
VITABU VILIVYOUZA ZAIDI UK:
Sir Alex Ferguson - My Autobiography - 115,547
Delia Smith - How to Cook - book two - 112,000
Tony Blair - A Journey - 92,000
David Beckham - My Side - 86,000
Paul Burrell - A Royal Duty - 77,000
BARACK OBAMA ASHUSHWA NAMBA MOJA YA LIST YA MOST POWERFULL 2013,VLADIMIR PUTIN AONGOZA
Mtandao maarufu kwa kutoa list mbalimbali ikiwemo ya watu matajiri duniani, wakati huu wametoa list ya watu wenye nguvu sana duniani. Mwaka jana namba moja alikuwa rais wa taifa kubwa dunia Barrack Obama. Mwaka huu mambo yamekuwa tofauti kwa kumuona bwana Obama akishuka kutoka kwenye hiyo nafasi yake.
Tuesday, 22 October 2013
ASHLEY YOUNG ASHINDWA KUELEWANA NA KOCHA WAKE DAVID MOYES.
Klabu
ya Manchester United imetajwa kuwa tayari kusikiliza ofa mbalimbali
ziotakazokuja kwa ajili ya winga Ashley Young baada ya mchezaji huyu
kushindwa kumridhisha kocha wa United David Moyes ambapo Ashley amekuwa
kwenye kiwango cha chini tangu msimu huu ulipoanza na amekuwa moja ya
watu wanaolalamikiwa sana na mashabiki wa United kwa kuonyesha kiwango
cha chini.
Zaidi
ya hapo kocha wa United David Moyes anaonekana kukerwa na tabia ya
winga huyu ya kujiangushaangusha akiwadanganya waamuzi ili wampe penalty
kama ilivyokuwa kwenye mchezo kati ya United na Crystal Palaca mapema
msimu huu.
Manchester
United inatarajiwa kufanya usajili mwezi January lakini mpango huo pia
utahusisha baadhi ya wachezaji ambao wanatarajiwa kuondoka United ambao
orodha yake pia inamjumuisha kiungo wa Japan Shinji Kagawa ambae
ameshindwa kuingia kwenye kikosi cha kwanza tangu David Moyes alipoanza
kazi kama kocha wa United.
WAAMUZI WA MECHI YA SIMBA NA YANGA WAPEWA ZAWADI YA MILLIONI 1 KWA KUCHEZESHA VIZURI
Makamu
wa Pili wa Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF),
Ramadhan Nassib ametoa sh. milioni moja kwa waamuzi waliochezesha mechi
ya Simba na Yanga iliyochezwa wikiendi iliyopita jijini Dar es Salaam.
Sunday, 20 October 2013
HII NDIYO HELIKOPTA WALIYOTUMIA MAGAIDI KWENYE SHAMBULIZI LA WESTGATE NCHINI KENYA
Friday, 18 October 2013
Tuesday, 15 October 2013
WANACHUO WA CHUO CHA UANDISHI WA HABARI NA UTANGAZAJI ARUSHA WAMUENZI BABA WA TAIFA MWALIMU NYERERE.
Wanachuo wa chuo cha uandishi wa habari na utangazaji Arusha(AJTC) Darasa la SELOUS wamemuenzi Baba wa Taifa MWALIMU JULIAS KAMBARAGE NYERERE kwa kwenda kutembelea hifadhi ya Taifa ya TARANGIRE pamoja na MESERANI.
Ziara hiyo ni kumbukumbu ya kukumbuka siku ya kifo cha Baba wa Taifaikiwa ni miaka 14 toka afariki dunia tarehe kama ya jana mwaka 1999.
HIZI NI PICHA ZA BAADHI YA MATUKIO YA SAFARI HIYO. Mkufunzi wa Ajtc Madam Verediana
Ziara hiyo ni kumbukumbu ya kukumbuka siku ya kifo cha Baba wa Taifaikiwa ni miaka 14 toka afariki dunia tarehe kama ya jana mwaka 1999.
HIZI NI PICHA ZA BAADHI YA MATUKIO YA SAFARI HIYO. Mkufunzi wa Ajtc Madam Verediana
SIR ALEX FURGUSON AZIDI KUTHAMINIWA KWA BARABARA KUPEWA JINA LAKE,,HIZI NDIZO PICHA ZA BARABARA ZENYE JINA LAKE
Unaambiwa karibu kabisa na uwanja wa soka unaomilikiwa na club ya Manchester United ndio kuna barabara imepewa jina la Sir Alex Ferguson ambapo imefunguliwa rasmi na imepewa hilo jina kutokana na heshima aliyopewa Sir Alex na Trafford Council kutokana na mchango wake.
Sir Alex ambae ameshinda makombe nearly 40 kwenye miaka 26 aliyofanya kazi na kuwa kocha wa club ya Manchester United, alialikwa pia kwenye hili tukio la kutambulishwa rasmi kwa barabara yenye jina lake ambapo mwanzoni ilikua inaitwa Water’s Reach.
Namkariri Sir Alex akiongea baada ya tukio….. ‘Nilipowasili Old Trafford mwaka 1986 nilikua na idea ndogo kuhusu safari yangu, over quarter of a century later to receive the Freedom of the Borough of Trafford na kuwa na sehemu ya Trafford iliyo na jina langu ni heshima kubwa, nimefurahi na kushukuru’
Unaambiwa the Honorary Freedom is the highest honour which the council can bestow. Under Section 249 of the Local Government Act 1972 borough councils may admit as Honorary Freemen of the Borough “persons of distinction and persons who have, in the opinion of the Council, rendered eminent services to the Borough”
Sir Alex na mashabiki wake..
Councillor Matt Colledge, leader of the council, said: “Sir Alex has contributed significantly to Trafford over a sustained period of time through his strong leadership of the Manchester United team and it was felt that the Honorary Freeman title and the renaming of the street was a fitting tribute to him.
“Football contributes significantly to the borough through the large number of visitors it attracts and jobs it creates.
“It has been through the success of the team that the club has grown in strength over the years, becoming one of the world’s most successful and renowned clubs.”
Friday, 11 October 2013
RAIS MSTAAFU MHE.MKAPA AZINDUA KAMPENI YA TUSOME TANZANIA (LET US READ TANZANIA CAMPAIGN).
Rais
Mstaafu Mhe. Benjamini William Mkapa ambaye pia ni mgeni rasmi
akihutubia vijana mbalimbali wakati wa uzinduzi wa Kampeni ya tusome
Tanzania (Let us read Tanzania) aliyoizindua leo katika viwanja vya
Makao Makuu ya Maktaba ya Mkoa jijini Dar es Salaam.
BAADA YA KUMUINGIZIA ZAIDI YA MILLIONI 130 NYIMBO YA POMBE YANGU,,MADEE AJA NA NYINGINE TENA;'TEMA MATE TUWACHAPE'
NYUMBA YA MADEE
Kila msanii anapotoa single kali kila mmoja anatamani kusikia itakayofata itakuaje? hii inatokea hata kwa Madee ambae ‘Pombe yangu’ ilimpa nguvu ya kutosha kumiliki chati za radio na TV na hata kumpa show za zaidi ya milioni 100.
Time hii naitumia kukualika kusikiliza single yake mpya ya ‘tema mate tuwachape’ ft Richard
WE NI MWANDISHI WA HABARI NA UNGEPENDA KWENDA BRAZIL KURIPOTI KOMBE LA DUNIA - MAOMBI YATAANZA KUPOKELEWA DESEMBA 7
VITAMBULISHO KURIPOTI KOMBE LA DUNIA
Maombi
ya vitambulisho kwa waandishi wa habari (Accreditation) wanaotaka
kuripoti Fainali za Kombe la Dunia zitakazofanyika mwakani nchini Brazil
kwa Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA) yataanza
kupokelewa kwa mtandao Desemba 7 mwaka huu kupitia akaunti ya FIFA Media
Channel.
HATIMAE WAYNE ROONEY AVUNJA UKIMWA JUU YA SIR ALEX FERGUSON, MANCHESTER UNITED
Rooney amesema hakufurahishwa na majukumu aliyopewa na Ferguson msimu uliopita,amekili sasa kuwa na furaha pale Old Trafford sababu kubwa ni Moyes kumchezesha kwenye nafasi anayoipenda ya ushambuliaji tofauti na msimu uliopita ambapo alichezeshwa kwenye nafasi ya kiungo.
‘Kila mtu klabuni alikuwa anajua nafasi niliyokuwa naipenda kucheza,sababu ya mimi kukata tamaa ilikuwa ni kulazimishwa kucheza kwenye nafasi ya kiungo,binafsi sikufurahishwa ila ilinilazimu kucheza kwa ajili ya manufaa ya timu,na ilinibidi wakati furani kuwa mbinafsi ili kunusuru maisha yangu'.
Baada ya mwanzo mzuri sasa nina furaha na nadhani sasa naweza kukaa meza moja na uongozi wa man utd kwa ajili ya kujadili mambo yangu ya baadae
VITU VYA AJABU VYAKAMATWA KWENYE BANDARI YA MOMBASA
Kontena ambalo lilikuwa na vitu vya nyumbani, limekamatwa likiwa na bidhaa nyingi za ajabu kama mafuvu na vitu vingine vya kutisha ambavyo inasemekana huwa vinatumika kwenye ibada za dini za kishetani. Mzigo huo bado unashikiliwa na mamlaka za Kenya na hii hapa audio ya ripoti nzima pamoja na video ya mzigo wenyewe kama ilivyoripotiwa na Citizen TV
Thursday, 10 October 2013
CHICHARITO ATAJA SABABU KWA NINI ATAONDOKA MAN U
HII NDIYO TATUU YA LULU
Msanii wa Bongo Movie Tanzania, Elizabeth Michael "Lulu" ameamua kuchora tattoo iliyoandikwa "Only God Can Judge Me" chini ya
shingo upande wa bega lake la kushoto, baada ua kuona
watu wamekuwa wakimhukum kwa mambo ayafanyao kulliko Mungu ambae ndie
mwenye cheo chake, na kuwataka watu kumuachia jukumu hilo Mungu pekee,
na kucha kujipa u-busy usio wa lazimaPICHA ZAWACHEZAJI WA YANGA WALIPOTUA SALAMA MJINI BUKOBA, TAYARI KWA MPAMBAO NA KAGERA SUGAR JUMAMOSI HII
Mapema
Asubuhi hii Ndege ya Precision Air ikiingia kwenye uwanja wa Ndege wa
Bukoba, kuwaleta wachezaji wa Yanga ambao wanatarajia kucheza mchezo wao
na Wenyeji Kagera Sugar kesho kutwa Jumamosi.
Wachezaji wa Yanga wakishuka, mbele ni Mbuyu Twite wakishuka uwanja wa Ndege Bukoba
Nizar Khalfani nae yupo kwenye kikosi
Wachezaji wakiendelea kushuka kwenye ndege
T
ayari wamekanyaga Ardhi ya Bukoba
Kama kawaida: kushoto ni
Khalfan Ngassa kulia ni Niyonzima
Picha ya Pamoja Viongozi na wachezaji
Dida kushoto akipata picha ya pamoja na wenzake
Kocha mkuu wa timu ya Yanga
Asante tumefika salama kazi ni moja ...ushindi ni muhimu Kaitaba
Niyonzima akiwa na Mdau wake wa bukobasports.com
Kelvin Yondani akifurahia baada ya kutua Bukoba asubuhi hii.
Bw. Jamal kalumuna kushoto akiwa na kiongozi wa Yanga
Smart Hotel
Wachezaji wakiingia Smart Hotel
Subscribe to:
Posts (Atom)